Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Nasikia bibi mkubwa anapenda viben ten balaa marafiki zake domo wamepiga sana pale hadi shetta kamla bib mdashi, kuwa na mama wa dzain hiyo kwa kweli ni full stress maana ukija tu na rafiki home unakuwa na waswas kinoma kuwa mda wowote anaweza kugeuka kuwa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa maza wako akiliwa wewe unahasara gani?

invest what you are willing to lose
 
Kwani ni dhambi Ommy kumgonga mama yake Diamond?
Siyo dhambi ila inauma jaribu kuwaza unavyo mfunua demu katika game pia muangalie mamako piga picha ulinganishe na mshikaji wako..ndo uone inavyo choma kama pasi.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
 
Unamsikitikia nin
Najiuliza tu ommy nae akigeuza kibao kwa kuitwa shoga redioni na diamond itakuaje

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Namsikitikia kwasababu mtoto wake kamuingiza kwenye kashfa za ajabu ajabu
 
Siyo dhambi ila inauma jaribu kuwaza unavyo mfunua demu katika game pia muangalie mamako piga picha ulinganishe na mshikaji wako..ndo uone inavyo choma kama pasi.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
Acheni ukazwazwa
Kwani maza nae hataki utamu? Tena wamama wenyewe hao wanaojiita wamama wamujin

invest what you are willing to lose
 
Siyo dhambi ila inauma jaribu kuwaza unavyo mfunua demu katika game pia muangalie mamako piga picha ulinganishe na mshikaji wako..ndo uone inavyo choma kama pasi.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
Basi si vema kuanzisha vita ya mawe huku ukiishi nyumba ya vioo!
 
Kana DAB ameingilia kati badi omary nyembo poz kwa poz kwishney

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Back
Top Bottom