Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,

kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram

chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB
ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile

mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam, i think you are in a wrong place. Why dont you join Shilawadu and leave us in peace and not in pieces
 
Ila picha bmkubwa kashikwa titi sasa ukashtaki nn?
Kuna kipindi nilisha sema kwenye comment moja kuwa huyu mama Dai kuna kitu anakitafuta ila wanaume wa dar wanajifanya hawakielewi....

Dimpoz akaja akawa mjanja kungamua hizo code alizo kuwa anazionesha huyo mama hadharanii.....

Yule mama utadhani hana kazi za maana za kufanya, 24/7 yupo Inst,

Wacha vijana wamkuje+mbuzi kagoma kwenda jinga sana huyo mama
 
DAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?

Kwani aliyeanzisha hilo swala ni kiba au diamond hiyo majuzi?

Nani aliyetafuta kiki kwa upeo wako hapo?

Diamond au kiba?

Mapenzi yakizidi sana huwa Mahaba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani DAB akiguswa lazima utie miguu, pole sana aisee yani mwaka huu wako. Mpaka naanza kuhisi yawezekana wewe ndiye DAB mwenyewe

Uliyemwandika ni nani!?
 
Huyu mama sasa akae tu nyumbani alee wajukuu,kutwa kushinda insta ona sasa yanayompata,mfyuuuu[emoji36][emoji36][emoji36]
 
ataanzia wapi? mama mtu mzima kutembea na vitoto vidogo?? af mnaomtetea mondi..... kila bifu yeye ndo hua anaanzisha akijibiwa na kimeseji tu cha insta anaanza kuhaha kutafuta huruma ya mashabiki,,,,,
yeye si kazoea kuwatungia vesi!? aendelee kutunga
shubamiiit
 
kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,

kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram

chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB
ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile

mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
mama hana nguvu kuz jamaa alikuwa anamtia kweli
 
Back
Top Bottom