Kwa kweli inawezekana kabisa. Na ukiangalia mambo aliyokuwa anafanya Mzee Abdul, kwa kweli yalikuwa yanatia shaka kwamba hata kama kweli mwanao kakutelekeza, hivi kweli mzazi unaweza kufanya kazi ya kufanya mahojiano kila siku mahojiano ambayo unajua kabisa yanamwaribia mwanao na kumfanya aonekane roho mbaya kila mahali!!! Mzazi kweli kweli angeshukuru kwa Mungu lakini alichokuwa anafanya Mzee Abdul ni kama alikuwa anatafuta public support ili kila mtu afahamu yeye ndo baba wa Diamond ili hata siku mambo yakibumburuka, ionekane anakanwa tu! Ndo maana aliwekeza nguvu kubwa sana kwa Diamond kwamba hamsaidii huku watu wakiwa hawafahamu kabisa kwamba kumbe hata Queen Darleen ni mwanae na ikaja kufahamika miaka ya karibuni tuNa sio kumvumilia tuu, walikua wakimwambia aache hizo mambo zake wakiwa nje ya media ila mzee akajua sababu dogo anatumia jina lake hawamfanyi kitu