Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Na sio kumvumilia tuu, walikua wakimwambia aache hizo mambo zake wakiwa nje ya media ila mzee akajua sababu dogo anatumia jina lake hawamfanyi kitu
Kwa kweli inawezekana kabisa. Na ukiangalia mambo aliyokuwa anafanya Mzee Abdul, kwa kweli yalikuwa yanatia shaka kwamba hata kama kweli mwanao kakutelekeza, hivi kweli mzazi unaweza kufanya kazi ya kufanya mahojiano kila siku mahojiano ambayo unajua kabisa yanamwaribia mwanao na kumfanya aonekane roho mbaya kila mahali!!! Mzazi kweli kweli angeshukuru kwa Mungu lakini alichokuwa anafanya Mzee Abdul ni kama alikuwa anatafuta public support ili kila mtu afahamu yeye ndo baba wa Diamond ili hata siku mambo yakibumburuka, ionekane anakanwa tu! Ndo maana aliwekeza nguvu kubwa sana kwa Diamond kwamba hamsaidii huku watu wakiwa hawafahamu kabisa kwamba kumbe hata Queen Darleen ni mwanae na ikaja kufahamika miaka ya karibuni tu
 
Mtoto si nguo!!
 
Miaka hiyo zana zilikuwepo? Tuanzie hapo kwanza
 
Na Huenda asilimia kubwa ya huo utetezi wake ni kweli.

Seriously mtu unayedai alimkataa mtoto akiwa bado mdogo still akakubali kumpa mtoto ubini wake?
Kwani ubini kitu gani,kwani mwana Mwana Fa na Ommy wote si wanatumia ubini wa baba zao pamoja walikataliwa.
 
Kama hawakumtumia kwann anaiwa nasib abdul badala ya jina la baba yake mzazi?huoni hio kashfa ya abdul wamejitakia wenyewe.
Mzee abdul aliwasitiri ndo maana wanamtumia kama kiki

Mwambie domo abadili jina tuamini huyo sio baba yake
Hebu tuwe wakweli!! Walikuwa wanamtumia kivipi wakati kila lilipoibuka jina la Mzee Abdul ilikuwa ni kashfa kwa Diamond na Bi Sandra?! Mzee Abdul alikuwa nani hadi wamtumie kwa kiki?!
 
Na Huenda asilimia kubwa ya huo utetezi wake ni kweli.

Seriously mtu unayedai alimkataa mtoto akiwa bado mdogo still akakubali kumpa mtoto ubini wake?
Sikiliza pande zote mbili na kama una ukaribu na hizo familia ungejua
Huyu mzee hakuwa baba wa kubeba majukumu
 
Kuitwa abdul juma badala ya salum idd ngange ni kiki tosha

Mzee wa watu katumika weee (vyeti vya clinic,kulea mimba)mwisho wa siku mnamuona kinyaa aiseee
 
Kuitwa abdul juma badala ya salum idd ngange ni kiki tosha

Mzee wa watu katumika weee (vyeti vya clinic,kulea mimba)mwisho wa siku mnamuona kinyaa aiseee

Ni kiki tosha au ndio uhalisia ambao Diamond,mama yake wana uishi.

Manake kiki ni sawa na maigizo ila hiyo situation ni real,sema kosa lao familia yao haina privacy.
 
Kwao kila kitu ni kiki hawajui kutofautisha uhalisia na maigizo mfano harusi ya esma anzia gari mpaka kumnanga petit

Domo angekua mbali ila familia yake inamdondosha sana. Cheki wanavyoitumia wasafi media vibaya.
Wao wanadhan wanamsaidia kumbe wanamdidimiza. Au wanataka kuwa kardashians wa bongo?
Ni kiki tosha au ndio uhalisia ambao Diamond,mama yake wana uishi.

Manake kiki ni sawa na maigizo ila hiyo situation ni real,sema kosa lao familia yao haina privacy.
 
Hiyo familia ni bandika bandua.

Leo Esma na Msizwa, Kesho Mzee Abdul, Huku Shamte na Mama Dangote, aiseeee
 
Haya ndo mlikuwa mnayataka.
Mimi nilisema sintomlaumu diamond kwa kuwa mama YAKE yupo HAI.
mama dangote angekufa hapo ningemlaumu diamond kuhusu baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…