Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Vipi kama ikichimbwa zaidi na kuangaliwa kwenye Cheti cha kuzaliwa liliandikwa jina la baba ni nani? Shule ya msingi? Sekondari na mpaka kwenye mikataba?

Vipi kama akipata lawyer mzuri hawawezi wakaichimba na kudai fidia ya jina lake kutumiwa kama mzazi hali ya kuwa mtoto si mwanae?

Unakumbuka issue ya Rick Ross kutumia jina la mtu mwengine? Ijapokuwa kesi zinaweza tofautiana ila kwa kiasi fulani zinaingiliana.
 
Uliwahi kusiki mara ngapi mwanamke amekataa mimba? Ni kwa nadra sana pia wanawake hutelekeza watoto, hivyo wanaume hawana chochote kikubwa cha kuwasema wanawake katika suala hilo.
Ni mtazamo wako nauheshimu. Nami ni mtazamo wangu naufahamu uhalisiya pia upoje kwenye huu mtazamo wangu.
 
Bahati mbaya ulini-quote kabla sijaongezea nyama kwamba "provided mwenyewe Mzee Juma alifahamu kwamba jina lake linatumika, hapo hakuna kosa lolote"! Kwamba kwanini litumike wakati mtoto sio wake, hiyo haiwezi kuwa issue kwa sababu watoto wengi tu wanatumia majina ya baba ambao sio wao!! Kama asingefahamu, hapo ndo angesema jina lake limetumika bila idhini yake!!
 
[emoji3][emoji3]
 
Kwanini wanaendelea kutumia jina la mtu ambaye aliwakana? Mpaka wajukuu wanatumia Hilo jina fika wanafahamu sio baba yake Diamond.
Mama sasa ndiyo mpumbavu, maana inasemekana mzee nyange alishakufa
 
Mzee awe na presha ipi wakati alimshakana Diamond kipindi hana mafanikio, kwahiyo aje apate presha sahivi ni namna gani mali zinavyowatoa roho watu
 
Kwa hiyo Queen Dareen na Diamond sio ndugu Tena

Sema mama dangote huenda hata baba yake esma sio huyo na huyo baba yake mpya diamond & Momo sio baba yao pia, baba zao ni wengine na Kila mtu ana baba yake[emoji16][emoji16]
Sema huyu mama ameigawa sana kitumbua chake hata ladha hakuna tena
 
Hivi hii kitu haiko staged? namuonea huruma huyo baba...yaani Diamond mchaga? nakataa...lol
Wakina nyange ni wachaga sasa mbona wanasema tena ni watu wa morogoro au mzee kaishi sana Morogoro
 
Huyo Mzee nilichoka pale aliposema walikua wanavaa condom nikajua hamna kitu. Niwazi mtoto sio wake. Jengine sioni sababu ya mtoto kumgombania sana wakati hakua ameoa. Kuna wakati nahisi km huyu Mzee alitumika na maadui wa Diamond kwa muda mrefu ukifuatilia Queendalin interview aliofanya na Lilyommy inapatikana youtube utaona huyu Mzee alikua na shida kiasi flani
 
Huyo mama sisi mabaharia tulishawahi kusema ni mcharuko ,,
Akatetewa sana humu na kumkandamiza mzee Abdul.,,

Kwa kweli hata shetani akimwona huyo mama shetani analia kwa hofu.

Jinsi huyo mama alivyo muovu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…