Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Sku hizi mjini wadada kuliwa ndg kwao ndomana kawaida tu maana tabia zao zimepita kipimoNi ya mdada mkuu,, wanampongeza mdada mwenzao kwa kugawa kikojoleo chake bila hiyana kwa wanaume wengi kwa wakati mmoja..
Hadi kusababisha kutokuwa na uhakika na baba mwenye mimba.
Hawa ndy wanawake tulionao siku hizi.
Shida inakuja hapa (IMO); ujauzito haukuwa wa Mzee Abdul, na yeye akaukataa ujauzito huo na akakataa kushiriki kwenye malezi ya Diamond; ni sawa kabisa. Kwa hiyo Bi Sandra alimsingizia mimba mzee Abdul; na hata baada ya mzee kukataa, ilikuwaje diamond akapewa ubini wa Abdul ikiwa Mzee Abdul alimkataa, na huku baba yake mzazi huyo Nyange akiwepo? Na Diamond alikuwa anaenda kwa mzee Abdul kumuomba matumizi kama nani ikiwa si baba yake mzazi wala mlezi? Na undugu wa Queen Darleen na Diamond unatokea wapi ikiwa baba Darleen hakuwahi kujihusisha kimalezi na Diamond?
Mama alikuwa na sasaRebeca 8salsa in kimbakimba anakula vichwa hatwreost: 37850329 said:haaaaaaaaa kama dawa haijakuingia mbona ume over react kusema kwamba ungedai fidia???...kwa nini usisepe tuu? hujui ume confirm kuwa mama Dai kawagusa panapouma?
Sku hizi mjini wadada kuliwa ndg kwao ndomana kawaida tu maana tabia zao zimepita kipimo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtu mwenye akili timamu huwezi zungumza mambo kama hayo faragha kwenye media
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aisee 🙄
Ukiangalia ile picha ya Diamond,mzee Abdul na yule mama zamani ni wazi kile kibibi mtu yoyote anaweza kumfanyizia😁Upumbavu tupu
Ule uzee tu[emoji1][emoji1] enzi za ujana wake Abdul alikuwa brazamen sanaShangaa hadi ule mbonyeo wa mashavu jamani..!!
Baba wa watu anadhalilishwa tu.Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.
Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
Hivi wewe humuoni kwamba yule mzee ni msanii?! Mi nadhani alifahamu, ndo maana nashangaa sana wanaokejeli Queen Darleen! Kuna uwezekano mkubwa hata Queen Darleen na mwenyewe ilifika wakati alifahamu lakini bado waliendelea kuishi nae kama walivyokuwa wanaishi zamani!! Sidhani kama muda wote huu Queen Darlin hakufahamu kwamba Diamond na Ricardo Momo ni brothers!!!Mwenyewe anasema kabisa hakuwahi kujua hilo kua mtoto sio wake Ndio kasikia jana
Yaani imeniuma sana. Natamani angekuwa baba yangu nikamuita baba nikamliwaza nikampikia akafurahi kuwa na bint kama mm.Baba wa watu anadhalilishwa tu.
Tenda wema nenda zako
Maada hii ni ya kutia aibu kwa diamond na mama yake . hata kama ulikuwa Malaya vipi, hivi ni jambo jema kwa jamii ya kiafrika kuwa wewe ulimzaa mtoto maarufu kama diamond kwa njia za kimalaya hadi baba yake humjui?. Nadhani busara ingetumika yeye mtoto diamond na mama wakamaintain kuwa baba diamond hahudumiwi na mtoto kwa sababu alikuwa hakuwajibika katika malezi. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayejinasibu kuwa alikwa Malaya wa kutupwa. Kwa hatua hii nina wasiwasi hata diamond ameishalishwa dawa za kienyeji kumchukia baba yake.. Mimi ningekuwa diamond ningemchukua kisiri kupima DNA tukikuta ni biological father tungeyasuluhisha ki utu uzima na kuitangazia Wa Tz kuwa mama alighafilika kunipotray diamond ni son of bitch, .lakini sasa diamond kaishalishwa limbwata na mama yake amebaki anadance to the tune of the bitchUkiangalia ile picha ya Diamond,mzee Abdul na yule mama zamani ni wazi kile kibibi mtu yoyote anaweza kumfanyizia[emoji16]