Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Huyu bibie kautangazia ulimwengu kuwa alikuwa ni malaya tangu zamani za kale, na ameendeleza umalaya hadi leo hii.

Anko Shamte naye anapita tu ila kuna mjuba huko South ndiye kila kitu kwa bibie, mzee Abdul anaonekana kuwa hatishwi na makombora ya Huyu bibie changu wa uwanja wa fisi 😀😀

Hii ipo kwa wanaume halisi hatubabaishwi na changu
 
Ni ya mdada mkuu,, wanampongeza mdada mwenzao kwa kugawa kikojoleo chake bila hiyana kwa wanaume wengi kwa wakati mmoja..
Hadi kusababisha kutokuwa na uhakika na baba mwenye mimba.

Hawa ndy wanawake tulionao siku hizi.
Sku hizi mjini wadada kuliwa ndg kwao ndomana kawaida tu maana tabia zao zimepita kipimo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Shida inakuja hapa (IMO); ujauzito haukuwa wa Mzee Abdul, na yeye akaukataa ujauzito huo na akakataa kushiriki kwenye malezi ya Diamond; ni sawa kabisa. Kwa hiyo Bi Sandra alimsingizia mimba mzee Abdul; na hata baada ya mzee kukataa, ilikuwaje diamond akapewa ubini wa Abdul ikiwa Mzee Abdul alimkataa, na huku baba yake mzazi huyo Nyange akiwepo? Na Diamond alikuwa anaenda kwa mzee Abdul kumuomba matumizi kama nani ikiwa si baba yake mzazi wala mlezi? Na undugu wa Queen Darleen na Diamond unatokea wapi ikiwa baba Darleen hakuwahi kujihusisha kimalezi na Diamond?
  1. Kwa maelezo ya mzee Abdul mimba ya kwanza na mama Diamond iliharibika na hii ya pili ambayo anasema condom ilipasuka ndiyo ya Mondi
  2. Kwa kudhani mimba hii ni yake hapa jibu ni kwamba bi Sandra alikuwa anatembeza kwa wazee wote wawili
  3. Mondi alipozaliwa mama akapata jibu peke yake ya kwamba mtoto ni wa Nyange
  4. Abdul akaendelea kuhudumia asijue mtoto siyo wake
  5. Inaonekana watu walimsanua Mzee Abdul kuwa mtoto siyo wake ndiyo maana akaacha kutoa huduma
  6. Mpaka hajapata umaarufu na mshiko Mondi hakuwa ameambiwa kuwa Abdul siyo baba yake na mama alikuwa anamwambia Abdul ndiyo baba yako ila kakutelekeza, ndiyo chuki ya Mondi kwa mzee Abdul inakomaa
  7. Kuna uwezekano Mondi alitaka kurudisha moyo na kumsumbua sana mama kwamba labda kama kuna mengine
  8. Ndipo mamaanaamua kumwambia jamaa na ulimwengu ya kuwa baba yake ni Nyange ambaye pia ni baba yake Ricardo Momo Nawasilisha.
 
Rebeca 8salsa in kimbakimba anakula vichwa hatwreost: 37850329 said:
haaaaaaaaa kama dawa haijakuingia mbona ume over react kusema kwamba ungedai fidia???...kwa nini usisepe tuu? hujui ume confirm kuwa mama Dai kawagusa panapouma?
Mama alikuwa na sasa
 
Sidhani kuwa mwanaume au mwanamke kunaathiri maoni ya mtu.
Ni tabia na utamaduni aliolelewa nao mtu ndiyo utaathiri maoni yake kwenye suala hili.
Kwani huyo baba yake wa damu alimlea?
 
Shangaa hadi ule mbonyeo wa mashavu jamani..!!
Ule uzee tu[emoji1][emoji1] enzi za ujana wake Abdul alikuwa brazamen sana

Ukicheki picha za kitambo utaamini kweli sio baba yake
 
Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.

Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
 
Baba wa esma hivi ni nani? na mzee abdul alikua anamla bi sandra tu bila kupata mtoto?
 
Nimejikuta nanchukia huyu mama sijui kwa nini? Hata kama sio mtoto wa mzee abdul ila alimlea jamani.hii ni zawadi tosha. Ilibidi anyamaze.

Ila na litoto ni lijinga mm ningeingilia kati. Kuthamini mchango wa mzee abdul. Pole sana mzee abdul. Dunia itawafunza.
Baba wa watu anadhalilishwa tu.
Tenda wema nenda zako
 
Mwenyewe anasema kabisa hakuwahi kujua hilo kua mtoto sio wake Ndio kasikia jana
Hivi wewe humuoni kwamba yule mzee ni msanii?! Mi nadhani alifahamu, ndo maana nashangaa sana wanaokejeli Queen Darleen! Kuna uwezekano mkubwa hata Queen Darleen na mwenyewe ilifika wakati alifahamu lakini bado waliendelea kuishi nae kama walivyokuwa wanaishi zamani!! Sidhani kama muda wote huu Queen Darlin hakufahamu kwamba Diamond na Ricardo Momo ni brothers!!!

Ingawaje watu wanawalaumu sana familia ya akina Diamond, kuna uwezekano mkubwa wao kama wao walitaka sana hii habari iwe siri yao, watu wa nje waendelee kuamini kwamba Mzee Abdul ndie baba wa Diamond lakini baada ya kuchoshwa na masimango ya watu kuhusu Diamond kutomjali mzee Abdul huku mzee mwenyewe akichochea kila wakati, jana ndo wakaamua walipasue! Yule Ricardo Momo jana ni paka tu aliyekuwa amevishwa kengele!

Usisahau jana hapa limewekwa gazeti la Ijumaa la mwaka 2012 likisema habari hii hii ambayo watu ndo tumeiona jana!!! Sasa unadhani kwa umbeya wa Ijumaa unadhani hawakuwahi kumuuliza Mzee Abdul kuhusu hiyo habari?! Tena usisahau, kabla ya akina SHILAWADU, ni magazeti ya Ijumaa ndiyo yalikuwa yanakomalia sana issue ya Diamond na babake, na Ijumaa naweza kusema ndio wanaongoza kwa kumtumia Mzee Abdul wakati ule.
 
Naona single mamaz wamepata pa kujishikiza.


Punguzeni stress. Acheni midomo mtachakatwa hizo papuchi hadi zikose ladha halafu midume inakumbia.
 
Wakuu kumekucha.

Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.

Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),

Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku

Jokajeusi
 
Ukiangalia ile picha ya Diamond,mzee Abdul na yule mama zamani ni wazi kile kibibi mtu yoyote anaweza kumfanyizia[emoji16]
Maada hii ni ya kutia aibu kwa diamond na mama yake . hata kama ulikuwa Malaya vipi, hivi ni jambo jema kwa jamii ya kiafrika kuwa wewe ulimzaa mtoto maarufu kama diamond kwa njia za kimalaya hadi baba yake humjui?. Nadhani busara ingetumika yeye mtoto diamond na mama wakamaintain kuwa baba diamond hahudumiwi na mtoto kwa sababu alikuwa hakuwajibika katika malezi. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayejinasibu kuwa alikwa Malaya wa kutupwa. Kwa hatua hii nina wasiwasi hata diamond ameishalishwa dawa za kienyeji kumchukia baba yake.. Mimi ningekuwa diamond ningemchukua kisiri kupima DNA tukikuta ni biological father tungeyasuluhisha ki utu uzima na kuitangazia Wa Tz kuwa mama alighafilika kunipotray diamond ni son of bitch, .lakini sasa diamond kaishalishwa limbwata na mama yake amebaki anadance to the tune of the bitch
Hata akina mama mnaoshabikia statement ya mama dangote mniwie radhi ni hamnazo tu. No wonder hata dangote wetu kama amekuwa kabwitunge wa mama yake. hata kuwa na mke maishani hawezi. Ambayo siyo sifa nzuri na anaishi maisha hatarishi hapo alipo .Leo Diamond anazaa ovyo na kila mwanamke basi ajue na ukimwi ataupta kirahisi kama hana mpaka leo. Kama ni swala la kuwa na nguvu za kiume nyingi si aoe wanawake 4 kama dini yake inavyomruhusu,tuone kama hatasaidiwa, na kukesha kwake kwenye show wanawke vijana wake wanne wanamsubiri. Na kama ni urithi wa watoto unaogopaje kuwarithisha watoto wake hadi unaandika eti mama ndie mrithi wake ,ambayo kwa kiafrika ni uchuro kurithisha mama yako wakati umezaa . ndio maana Zari, kahaba anaeanika mapaja at 40's ameamua kujimegea nyumba SA mapema. Risk behaviour anayoishi diamond anajihukumu kifo mapema kwa ukimwi. Diamond mpende mama yako mzazi lakini sio kumuabudu kiasi huwezi fikiria kuoa akiwa hai. Hivi diamond ni tajiri kuliko bill gates ambaye ana make mmoja na watoto. Unatakiwa uoe utulie acha maisha ya kwenye movie haufiki mbali kwa uhai wa pumzi. Uzi ni mrefu wachovu na wahuni wa maisha (ke)) toeni povu lakini kujianika kwa mama diamond kuwa ni bitch, no thank you, I beg to differ anaerode hata status ya mwanae kijamii . makampuni yanayotafuta kudhamini wanamuziki wanaweza mbeleni wasimpe mikataba minono, simply because ni familia ya scandals tupu. Mara Dada kaachika na kutoa mimba ,Mara lile Mara hili , yote ya ovyo familia moja tu? Tunzeni faragha yenu ambayo sio hadithi nzuri kwa mtanzania Wa kawaida. Povu ruksa kwa bitches.
 
Back
Top Bottom