Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Wanaume mnaoishi ukweni hameni mkajitegemee, muwe na miji yenu kwa heshima ya sasa na ya baadae
Kuishi ukweni ni fedheha..... hata Abdul alipuuzia sasa anaumia
Eh mama kaamua kuwa na kijana wa kumridhisha sasa maana shuguli ni moja tu aliyokuwa nayo yule mluguru [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vp mama anaweza akaukwa mzg sahv na umri wake huo

Ova
 
Eh mama kaamua kuwa na kijana wa kumridhisha sasa maana shuguli ni moja tu aliyokuwa nayo yule mluguru [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi vp mama anaweza akaukwa mzg sahv na umri wake huo

Ova
Sandra anajipa furaha aliyoikosa wakati wa umri wake kwa raha zake
Kwani kuna mtu anaumia😃😃😃
 
It's sad kweli. Ila na yeye kiazi tu kazidi kua mamas boy ndio maana mama yake anampelekesha jinsi anayotaka. If he was smart angetoa tamko tu "Namjua baba yangu ni Mzee Abdul tu hao wengine siwafahamu" simple as that na angekua hero of this saga.
Anayemjua baba yako wa kweli ni mama yako DNA hufuata ili kuthibitisha hilo.
 
Queen upande wa mama yake walikua wanajiweza kidogo tofauti na mama diamond , Darren walk Kua wana nyumba kariakoo za kutosha round about ya shule ya Uhuru kariakoo ndio maana aliishi kidoni
Ina-make sense manake zamani sana hata kabla Diamond hafahamiki, mara kwa mara nilikuwa "nakutana" na Queen Darleen pande hizo hizo za Shule ya Uhuru!!
tena Diamond Anabeba na kutumia siku hizi, wakajifanya kumuomba makonda awe Mlezi wao ili awalinde siku ya wakikamatwa
Sasa kama anasaidiwa na Makonda, huyo Makonda ana ubavu wa ku-influence Diamond au yeyote yule kupita na sembe kwenye airports za nchi za watu?
 
Hapo mwanamke mwenzetu mdangaji wa zamani, malipo ya kumzarau hamisa japo kwao alionyesha nidhamu.
 
Zilikuwepo, hiz condom zilianza toka enz za mfalme, dav, Kama sikosei alikuwa anapenda Sana madem, ndio zikatengenezwa enzi hizo kuepusha mimba.
 
Anayemjua baba yako wa kweli ni mama yako DNA hufuata ili kuthibitisha hilo.
Sidhani kama Naseeb anahitaji kumjua baba yake kwa maana baba mlezi alishamkataa sembuse huyo ambae aliweka mbegu tu na kupotea. Issue ni yeye kuacha mama yake atawale maamuzi yake na kumletea fedheha tu.
 
Naona juhudi za kuibakisha wasafi TV kileleni zikiendelea, big up mnajua kucheza na akili za watz ..
 
Juhudi za kuibakisha wasafi TV kileleni zinaendelea, anyway mwanzo walisema mzee Abdul ni mganda mara oooh sio baba yake ..
 
Nikiwaambia watu waoe wanawake bikra bado naonekana mjinga,

Jokajeusi
Jokajeusi wanaume kuoa bikra inawezekana kabisa haswa kwa hii hamasa unayotoa hapa jf, ila na nyie wanaume kwenye huko kuhamasishana mkumbushane kuacha kuwaharibu mabinti zetu walio bikra tena kwa kuwalaghai mtawaoa na kuwaacha

Maana nyie ndio mnataka bikra na nyie ndio mnaoharibu

Wanaume mkiamua kwa dhati kabisa hakuna kitachoshindikana. Mwanaume kiongozi wa familia na jamii
 

Mimi nasisitiza mtu asiharibu mwanamke bikra,
 
Huyo diamond ni punda nina ushaidi hacha kutetea ujinga , labda kama ameacha jana , na kwa taarifa yako anabeba na kutumia hizo drugs

Amewabebea sana kinje na washkaji wa kinje na Khalil

unless wewe ni diamond mwenyewe unajitetea , au umekuja mjini juzi

nasema achunguzwe, Msizwa to a file Yao wao wamekuchafua
 
Amina Jokajeusi
Tunamshirikisha Mungu sababu wenyewe hatuwezi🙏

Amina.

Tukikosea sisi isiwe sababu ya watoto kukosea.

Utanisamehe ikiwa nitatumia lugha ngumu kwa baadhi ya maeneo, sina jinsi,
 
Amina.

Tukikosea sisi isiwe sababu ya watoto kukosea.

Utanisamehe ikiwa nitatumia lugha ngumu kwa baadhi ya maeneo, sina jinsi,
Ni kweli, mzazi akikosea sio kibali cha watoto kukosea
Nguvu mwanaume aliyopewa na Mungu ikitumika kwa usahihi inaweza kuleta mabadiliko chanya
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…