Mi nachompenda diamond ni very smart.. watu wangejua mambo yote yanapangwa haya kuteka instagram na kuingiza pesa youtube..
Harusi ya esma na msizwa ni planned, haya maneno ya rikado momo nina uhakika ni planned... yaani wanapiga hela kiurahisi sana zama hizi za social network
Umbea unakutajirisha fasta ukijua kuutumia. Diamond na familia yake wanalijua hilo..ndio wanawapa umbea sasa kama huo wa kuzua tu
Umbea umempa shigongo utajiri
Umbea umewapa watu wengi ajira wanaendesha magari mazuri na wanajenga kina juma lokole, carry mastory, kumbuka, shilawadu etc