mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Vitu kama hivyo kupata ilikuwa mpaka uwe na connection mzeeHili limenifikirisha kidogo, hebu msaada hivi Mwaka 1988 au 1989 mwanzoni enzi za Mwinyi, Sukari Unga kwa foleni , Je Condom zilikuwepo Tanzania? Kama zilikuwepo mwamko wa matumizi kwa watu kama Mzee Abdul ulikuwaje? Maana sisi wa miaka ya tisini tuliona miaka ya 2000 ndio kampeni juu ya matumizi sahihi na ugawaji wa Condom bure ulikuja miaka ya 2006 kwenda juu kama sikosei....Hili suala la mzee Abdul kusema ndom ilipasuka daah! Discuss.
Ova