Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Umenena kweli kwa nini ulete mchwa nyumbani ati kuoa mobeto! Oa zari anayeleta kama nyuki
 
Subiri wako apate mchepuko kama huyo unayemuongelea Mama yake kuwa mpole kwa macho ya watu.. eeeeh
 
Akufuru Mara ngapi..kwanza kitendo cha kushangilia zinaa ya mwanawe tu ni mtihani na tayari kufuru kubwaa..haya anayoyafanya sasa hivi ni kufurahisha walimwengu na umri ule kwa kweli ni shida
Huyu mama anapoelekea anakufuru jamani
Hataki mwanawe aoe yoyote yule ana ubinafs wa hali ya huu,kipindi yuko na penny nakumbuka mahaba motomoto..Mara eeehh!ghafla karudi kwa Wema tena!
Yaani yule mama uislam wake nna mashaka nao
Halaf ukiachika unakuwa mzurii ,kinamuuma kuona hamisa kafanyiwa vitu vizuri
 
Hivi watoto wake wanashindwa kukaa na mama yao kumwambia anayofanya jamani au ndio wanajionea sawa tu
 
Hivi watoto wake wanashindwa kukaa na mama yao kumwambia anayofanya jamani au ndio wanajionea sawa tu
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!

Huyu mama hivi vitu ndo alikua anavitaka sasa amevipata na yawezekana mganga wake kamuambia hivyo ndo maana!
 
Mchepuko hana kauli nzuri kwa mkwewe. Itakua hata nyumbani huwa wnazinguna ndio maana mama hampendi. Mbona mwanzo walikuaga mashosti. Kuna vitu nyuma ya pazia hawavisemi huyu mama sio chizi
Wanamchokonoa kila siku hamisa kachokaa
 
Inasikitisha sana yetu macho ngoja tuone mwisho wake
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!

Huyu mama hivi vitu ndo alikua anavitaka sasa amevipata na yawezekana mganga wake kamuambia hivyo ndo maana!
 
Kuna mambo hatuyajui. Kutoka kushona sare mpaka uadui, surely kuna kitu. Ni zaid ya kuita shilawadu as per mama dangote
Hapana hata zari walikuwa wanamchukia pia,,ukiachika ndio unakuwa mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…