Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Sema tu kwa sababu ya mama Dai yapo IG, ila ukweli ni kwamba wamama wengi wa watoto wa kiume wanapenda ku control maisha ya watoto wao. Trust me, wapo wamama wengi sana kama mama Dai. Mtoto wa kiume asipokuwa strong, hatakaa apate mke anayekubalika na mama. Hata akimpata huyo mke ndoa inaweza ikawa inayumba kwasababu ya contol ya mama mkwe kwenye maisha yao. Ile familia ya Tandale inahitaji mwanamke aliye hamnazo, anayeweza kuwavimbia bila uoga wa kupoteza mume. Hamisa wenu hawezi, maana ukiacha kupendwa na mume, inahitajika pia uwe na financial power, mfano wao kama familia wakinunua Prado, we unavuta Range.
Umenena kweli kwa nini ulete mchwa nyumbani ati kuoa mobeto! Oa zari anayeleta kama nyuki
 
Subiri wako apate mchepuko kama huyo unayemuongelea Mama yake kuwa mpole kwa macho ya watu.. eeeeh
 
Akufuru Mara ngapi..kwanza kitendo cha kushangilia zinaa ya mwanawe tu ni mtihani na tayari kufuru kubwaa..haya anayoyafanya sasa hivi ni kufurahisha walimwengu na umri ule kwa kweli ni shida
Huyu mama anapoelekea anakufuru jamani
Hataki mwanawe aoe yoyote yule ana ubinafs wa hali ya huu,kipindi yuko na penny nakumbuka mahaba motomoto..Mara eeehh!ghafla karudi kwa Wema tena!
Yaani yule mama uislam wake nna mashaka nao
Halaf ukiachika unakuwa mzurii ,kinamuuma kuona hamisa kafanyiwa vitu vizuri
 
Hivi watoto wake wanashindwa kukaa na mama yao kumwambia anayofanya jamani au ndio wanajionea sawa tu
Akufuru Mara ngapi..kwanza kitendo cha kushangilia zinaa ya mwanawe tu ni mtihani na tayari kufuru kubwaa..haya anayoyafanya sasa hivi ni kufurahisha walimwengu na umri ule kwa kweli ni shidaHataki mwanawe aoe yoyote yule ana ubinafs wa hali ya huu,kipindi yuko na penny nakumbuka mahaba motomoto..Mara eeehh!ghafla karudi kwa Wema tena!
Yaani yule mama uislam wake nna mashaka nao
 
Hivi watoto wake wanashindwa kukaa na mama yao kumwambia anayofanya jamani au ndio wanajionea sawa tu
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!

Huyu mama hivi vitu ndo alikua anavitaka sasa amevipata na yawezekana mganga wake kamuambia hivyo ndo maana!
 
Inasikitisha sana yetu macho ngoja tuone mwisho wake
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!

Huyu mama hivi vitu ndo alikua anavitaka sasa amevipata na yawezekana mganga wake kamuambia hivyo ndo maana!
 
Kuna mambo hatuyajui. Kutoka kushona sare mpaka uadui, surely kuna kitu. Ni zaid ya kuita shilawadu as per mama dangote
Hapana hata zari walikuwa wanamchukia pia,,ukiachika ndio unakuwa mzuri
 
Back
Top Bottom