Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #61
Kumbr uko vumbiniSaa mbili hii nikalale,we kweli unaumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbr uko vumbiniSaa mbili hii nikalale,we kweli unaumwa
Umenena kweli kwa nini ulete mchwa nyumbani ati kuoa mobeto! Oa zari anayeleta kama nyukiSema tu kwa sababu ya mama Dai yapo IG, ila ukweli ni kwamba wamama wengi wa watoto wa kiume wanapenda ku control maisha ya watoto wao. Trust me, wapo wamama wengi sana kama mama Dai. Mtoto wa kiume asipokuwa strong, hatakaa apate mke anayekubalika na mama. Hata akimpata huyo mke ndoa inaweza ikawa inayumba kwasababu ya contol ya mama mkwe kwenye maisha yao. Ile familia ya Tandale inahitaji mwanamke aliye hamnazo, anayeweza kuwavimbia bila uoga wa kupoteza mume. Hamisa wenu hawezi, maana ukiacha kupendwa na mume, inahitajika pia uwe na financial power, mfano wao kama familia wakinunua Prado, we unavuta Range.
Halaf ukiachika unakuwa mzurii ,kinamuuma kuona hamisa kafanyiwa vitu vizuriMama diamond hana hamisa wala wema yoyote kwa mwanawe ni mbaya tu
Kweli kabisaMama diamond hana hamisa wala wema yoyote kwa mwanawe ni mbaya tu
Hataki mwanawe aoe yoyote yule ana ubinafs wa hali ya huu,kipindi yuko na penny nakumbuka mahaba motomoto..Mara eeehh!ghafla karudi kwa Wema tena!Huyu mama anapoelekea anakufuru jamani
Halaf ukiachika unakuwa mzurii ,kinamuuma kuona hamisa kafanyiwa vitu vizuri
Akufuru Mara ngapi..kwanza kitendo cha kushangilia zinaa ya mwanawe tu ni mtihani na tayari kufuru kubwaa..haya anayoyafanya sasa hivi ni kufurahisha walimwengu na umri ule kwa kweli ni shidaHataki mwanawe aoe yoyote yule ana ubinafs wa hali ya huu,kipindi yuko na penny nakumbuka mahaba motomoto..Mara eeehh!ghafla karudi kwa Wema tena!
Yaani yule mama uislam wake nna mashaka nao
Mchepuko hana kauli nzuri kwa mkwewe. Itakua hata nyumbani huwa wnazinguna ndio maana mama hampendi. Mbona mwanzo walikuaga mashosti. Kuna vitu nyuma ya pazia hawavisemi huyu mama sio chiziSubiri wako apate mchepuko kama huyo unayemuongelea Mama yake kuwa mpole kwa macho ya watu.. eeeeh
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!Hivi watoto wake wanashindwa kukaa na mama yao kumwambia anayofanya jamani au ndio wanajionea sawa tu
Twin ake mama daimondSubiri wako apate mchepuko kama huyo unayemuongelea Mama yake kuwa mpole kwa macho ya watu.. eeeeh
Wanamchokonoa kila siku hamisa kachokaaMchepuko hana kauli nzuri kwa mkwewe. Itakua hata nyumbani huwa wnazinguna ndio maana mama hampendi. Mbona mwanzo walikuaga mashosti. Kuna vitu nyuma ya pazia hawavisemi huyu mama sio chizi
Hivi mtu mzima kama yule utamuambia nini labda..unakumbuka mama Wema nae alirandukaga hivi hivi...sasa hivi kapoa..!!!
Huyu mama hivi vitu ndo alikua anavitaka sasa amevipata na yawezekana mganga wake kamuambia hivyo ndo maana!
Kuna mambo hatuyajui. Kutoka kushona sare mpaka uadui, surely kuna kitu. Ni zaid ya kuita shilawadu as per mama dangoteWanamchokonoa kila siku hamisa kachokaa
Hapana hata zari walikuwa wanamchukia pia,,ukiachika ndio unakuwa mzuriKuna mambo hatuyajui. Kutoka kushona sare mpaka uadui, surely kuna kitu. Ni zaid ya kuita shilawadu as per mama dangote
Si sababu walikua wanamtaka hamisa mwanzo. Tena kipindi kile walikua karibu kweli kweli.Hapana hata zari walikuwa wanamchukia pia,,ukiachika ndio unakuwa mzuri