nakuharibia ..wakati nataka aje kukuondoa kwenye mikono ya wakora ""Kwanini unapenda kuniharibia lakini?
We kizeee upo?Kwanini unapenda kuniharibia lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapicha picha!ya kichina,kihindi na kiarabu!!![emoji23][emoji23] gubu la mama mkwe nilikuwa nalisikia ila sahivi nimeliona mama haliki yule si kwa mchuzi wala mkavu kote shida yeye
Mama sabrina sema sahivi kapata kiboko yake hamisa mswahili mwenzie full mapichapicha wengine alikuwa anawaonea
Mbaya mnoo ana gubu kama analiwa na yeye!!!Hyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
Apewe Mara ngapi limbwata?!!Mama bora aendelee kuwa karibu na mwanae Maana akikaa mbali tu wanawake wa kibongo hamkawii kumpa limbwata mwanae ili mle pesa yake!
Maana sehemu kubwa wasichana wa bongo wana ndoto ya kulala na Diamond kisa pesa+ umaarufu!
Namshauri mama aendelee kuwa makini
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Matukio ya kutengenezwa hayo, yani wasanii wa bongo wameshafanya ndio maisha sasa kucheza na akili za watu
[emoji120][emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Na kule nipoooo kwa wa kishuaaHuku sasa ndo mahali kwako binamuu
Mama daimond mbinafsi sanaaWanawake wengiii tukilea watoto wenyewe haswaa wa kiume tunakua wabinafs mnooo
Uzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyuMambo yao waachie wenyewe...
Usiwe na roho kama hiyo... ina maana mama mkwe wako utakua unamshushia kichapo...
Cc: mahondaw
Binamu ESMA yuko lock up kakamatwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anauza vipodozi fekiUzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyu
Ila mama daimond ningevizia dai hayupo nikamnasa vibao akisema kwa mwanae namuambia ananisingizia tu kwa vile hanipendi
Ungem-DM insta kwenye account yake ingependeza zaidi,kuja humu kuandika huu upuuzi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwanza sidhani kama yupo humu.Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten
Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama
Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Nimeona kumbe vipodozi fake ahahahha kutoka j3Binamu ESMA yuko lock up kakamatwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anauza vipodozi feki
Joowzey hayakuhusu,halaf nimesubiri ile supi wapiii mi sijaribiwi kama raisiUngem-DM insta kwenye account yake ingependeza zaidi,kuja humu kuandika huu upuuzi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwanza sidhani kama yupo humu.
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama yule Mungu anamnyoosha hhapa hapaNimeona kumbe vipodozi fake ahahahha kutoka j3
Dah sasa mama,hebu njoo kwanzaJoowzey hayakuhusu,halaf nimesubiri ile supi wapiii mi sijaribiwi kama raisi
Ahahahah vipodozi fake[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama yule Mungu anamnyoosha hhapa hapa