screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Kama ana 48 basi umri bado unaruhusu maana analingana na ZariHivi NDOA na MIMBA kipi kinaanza?huyu mama ni LIMBUKENI,,,miaka 48 bado unatafunwa hovyo,,,tena bila NDOA,,laana ya MZEE ABDUL itamtafuna yeye na mwanae