Mama Erick Kabendera ni aina ya wamama adimu sana, wanawake wenye maono makubwa

Katika mambo yaliyonifanya nimchukie kabisa Magufuli ni ile video ya Mama Kabendera akilia kumuombea msamaha mwanaye, nililia mno!

Mama Kabendera apumzike kwa amani, kijana hodari aliyemlea vyema anaushangaza ulimwengu hii leo.
Yule mama alinihuzunisha sana pia.
Yule mzee alikua na roho ngumu kupindukia si ajabu ndio sababu ya kuitwa jiwe.

Ukigusa maslahi yake au akihisi hivyo hata kwa mbali tuu hakyanani utakiona cha mtema kuni.
 
Njoo tena, sijakueelewa ulikuwa na maana gani.
Kabendera alishikiliwa miezi sita bila kuhukumiwa na mahakama, kuna wafuasi wengine wa CHADEMA walikuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji huko Njombe na wameachiwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa gerezani miaka minne!
 
Yaa ni sawa. Sheria zinasema wapelekwe mahakamani mapema.
 
Katika mambo yaliyonifanya nimchukie kabisa Magufuli ni ile video ya Mama Kabendera akilia kumuombea msamaha mwanaye, nililia mno!

Mama Kabendera apumzike kwa amani, kijana hodari aliyemlea vyema anaushangaza ulimwengu hii leo.
Kwa kweli hata mimi hilo lilinigusa sana na inawezekana kabisa machozi yale ndiyo yaliyoharakisha Karma- kama wavyosemaga watu huko duniani- Karma is real.
 
" Alimpomtembelea mahakamani alihuzunika sana jinsi watu walivyokuwa wananyang'anya haki zao na watu wengine wako kimya tu"
 
Hakuna mtu yeyote duniani ambaye ni mkweli ndugu. Tuache kudanganyana. Wewe ukichepuka huwa unamwambia mmeo?
 
siku mbili baadae kaflag akakamatwa Tanzania Tena mwafrika
 
Kwa hiyo "wahaya"walianza biashara zamani hadi mkoloni kuwapiga marufuku!?
 
Madudu yenu yakiwekwa peupe sio kuchafuliwa ndio uhalisia huo shida yenu mnapenda kusifiwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…