eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Sio sawa kuwafunga watuhumiwa kabla hata ya kupewa hukumu na mahakama.
Njoo tena, sijakueelewa ulikuwa na maana gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sawa kuwafunga watuhumiwa kabla hata ya kupewa hukumu na mahakama.
Yule mama alinihuzunisha sana pia.Katika mambo yaliyonifanya nimchukie kabisa Magufuli ni ile video ya Mama Kabendera akilia kumuombea msamaha mwanaye, nililia mno!
Mama Kabendera apumzike kwa amani, kijana hodari aliyemlea vyema anaushangaza ulimwengu hii leo.
Kabendera alishikiliwa miezi sita bila kuhukumiwa na mahakama, kuna wafuasi wengine wa CHADEMA walikuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji huko Njombe na wameachiwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa gerezani miaka minne!Njoo tena, sijakueelewa ulikuwa na maana gani.
Kabendera alishikiliwa miezi sita bila kuhukumiwa na mahakama, kuna wafuasi wengine wa CHADEMA walikuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji huko Njombe na wameachiwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa gerezani miaka minne!
Kwa kweli hata mimi hilo lilinigusa sana na inawezekana kabisa machozi yale ndiyo yaliyoharakisha Karma- kama wavyosemaga watu huko duniani- Karma is real.Katika mambo yaliyonifanya nimchukie kabisa Magufuli ni ile video ya Mama Kabendera akilia kumuombea msamaha mwanaye, nililia mno!
Mama Kabendera apumzike kwa amani, kijana hodari aliyemlea vyema anaushangaza ulimwengu hii leo.
Hakuna mtu yeyote duniani ambaye ni mkweli ndugu. Tuache kudanganyana. Wewe ukichepuka huwa unamwambia mmeo?Amekuwa mkimbizi sababu nchi aliyokuwepo hawapendi ukweli, mama alimlea mwanae katika ukweli na haki ambalo ni kosa lililompelekea mwanaye kesi na kushikiliwa kinyume cha haki.
Mama Kabendera ni mfano kwetu sisi wanawake, tunapaswa kuwalea watoto wetu kama alivyomlea mwanaye Eric ili kuleta mageuzi ya fikra kwa vizazi vijavyo.
siku mbili baadae kaflag akakamatwa Tanzania Tena mwafrikaNakumbuka bro Pascal Mayalla alilishukia gazette la The Economist kwa kuandika mambo ya uongo na ya kuichafua serikali. Yeye hakuandika kuhusu Kabendera na wala hakuna aliye dhani ni yeye. Licha ya kuwa mwandiko, lugha, mtiririko wa mawazo nk ilionesha kabisa kwamba mtunzi na muandishi wa makala ile ni mwenyeji wa eneo husika. Kwa hiyo Pascal alifanya kitu ambacho wengi walifikiria. Kupinga makala zile.
Madudu yenu yakiwekwa peupe sio kuchafuliwa ndio uhalisia huo shida yenu mnapenda kusifiwa kila siku.We nawę ndio unaamka, ushaambiwa Kabendera ni freelance writer (analipwa) per article.
Kama ulikuwepo JF from 2015 kulikuwa na mada luluki kutoka ‘The Economists’ na hao wengine ambao wanamtambua kama contributor wao (The Times na The Guardian.
Alikuwa anaichafua serikali huko kwa kutumia pseudonym mpaka alipotajwa jina lake halisi humu JF muhusika ni Kabendera na member ambae ni active (you should have this details, kabla ya kuchagua upande).
Freelance writer analipwa per article kwa wanaochapisha nakala zake au unadhani alikuwa anaandika bure.