Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

Hayo unayoyasema una ushahidi nayo?
 
Hutashangilia matokeo yatakapotoka against kijana wa kizanzibar Fei?
KAMA NI YA HAKI NTASHANGILIA TU..!! Kama yamefuata taratibu zilizowekwa, why not nisishangilie..!??? Kama facts zimewekwa mezani, kwanini nisishangilie? Mimi sishabikii mtu kulipwa kwa kuonewa huruma. Hata wewe unaposema MTANZANIA MWENZANGU, MAANA YAKE UNACHOANGALIA NI UTANZANIA WAKE NA SI KAMA ALIFUATA MKATABA UNATAKA NINI..!! By the way, hata TFF nao ni watanzania wenzetu.
 
NTASHANGILIA TU..!!
Hili ndilo ninaloliona, hakuna jingine. Mtanzania atajificha kwenye kivuli cha taratibu,sijui mkataba ila target ni moja tu. Furaha mtanzania mwenzake anapofeli.

Vp, huyu hakuuzunishi kwa maisha anayopitia baada ya soka? Au ndo zile za Watanzania ni wajinga, ukiwalipa vizuri wanatapanya.
 
Kwahiyo ume-edit na post yangu ili ifiti unachokitaka? Huo ni ujuha.

BTW, niwaombe mods Maxence Melo, Mhariri, Moderator, Paw etc Mtu anapomkwoti mwingine, tengenezeni mazingira anayekwoti asiweze ku-edit anachokikwoti. Maana kuna siku mtu ataonekana ameandika kitu kinachovunja taratibu za JF kumbe kuna mmoja ame-edit post ya mtu pale anapomkwoti kwa maslahi yake binafsi. Mfano huyu ndugu Tsh amenikwoti akafuta mengine yote akayaacha anayoyataka yeye.

 
Nimekuonyesha kile ninachokiona kutoka kwako siyo hayo mengine ninayoyaona kama visingizio tu vya kuhalalisha tamanio lako(Kushangilia Fei kushindwa).

Wewe kama ni shabiki huna maslahi yoyote kwa fei kubaki yanga sababu hataki kucheza, matokeo ya kukufanya ushangilie ni Yanga kumuondoa kikosini ili asiwe mzigo kwa timu yako badala yake unashangilia yeye kubaki sababu unajua akibaki hatopata maslahi anayoyapigania huko nje. To you it is not about Yanga kumbakisha Fei ili kuinufaisha Yanga, it is about Fei kukosa analolitaka nje ya Yanga hata kama atakuwa mzigo kwa Yanga.
 
Wenzio huwa hawafuti, wanaongeza tu HAPO KWENYE BOLD baada ya kukwoti na ku-bold eneo wanalotaka point yao ijikite, na mengine yanabaki kama yalivyo. Kitendo cha kufuta baadhi ya maneno inaonyesha jinsi ulivyo mzoefu kwenye kufoji docements sehemu mbalimbali.

Kwanini uondoe maneno haya..? KAMA NI YA HAKI. Si unataka ionekane tu NITASHANGILIA BILA MASHERTI YOYOTE?
 
Hili hitimisho lako halibadili tabia yako ya ushangiliaji. Mshangilie na huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…