Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hayo unayoyasema una ushahidi nayo?Hakuna maslahi kwa baadhi ya viongozi kwenye mkataba wa Fei kwa kipindi alichokuwa anauhitaji mpaka pale alipoamua kutumia njia mbadala kitu ambacho hakikutegemewa. Hili ndo tatizo ila mashabiki mpo ibadani mkidhani mnaitetea Yanga kumbe mnatetea tumbo la mtu fulani.