jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mama alisema Feisal anategemewa na ndugu zake, pesa zote zinaishia kwa kulipia gharama za shule na mavazi kwa ndugu zakeMama ameonekana ana akili ndogo mpaka inahuzunisha. Hivi katika hali ya kawaida kabisa unapataje hela ya kununulia sukari ili ulie na ugali, halafu ukose hela ya kununulia mboga za bei nafuu kabisa kama bamia, nyanya chungu, mchicha, dagaa, nk. ili kulia na huo ugali!!
Mbaya zaidi hakuna mji wenye bei nafuu ya chakula kama Dar!! Yaani kabisa ulipwe milioni 4 kwa mwezi, halafu ushindie ugali na sukari!! Kuna watu hapa duniani hawana hata shukrani.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app