Kwa maelezo ya huyu dear, mama ake anataka mkwe mwenye hadhi na uwezo ili awatambie wamama wa wenzie wa mtaani. Sasa km sio nongwa nini? Anashangazaa mnoo.Nimemwambia huyu Muhanga kwamba inawezekana hata mama yake anavutiwa na huyo mpenzi wake lakini kama ni single parent family
Hata mimi ndio hisia zangu. Maza kapita na huyo mshikajiNIMESOMA COMMENT NYINGI ILA UKIONA HIYO MAMA YAKO ALISHALIWA NA HUYO JAMAA..NDO MAANA ANAWEKA VIPINGAMIZI VINGI SANA USIFANIKIWE.
Ni ngumu kidogo. Kwanza nikupongeze kwa kuwa binti mwenye kujitambua. Unajua kuwa mwanaume wako unaweza kumtengeneza akawa utakavyo japo si kwa %100. Una msimamo na kutojikweza kama wavinti wengine huku kitaa.Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-wote tumeishia 0- level kielimu
- mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-anataka kunioa pale nikiridhia
sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Marioo???? uko serious??Lazimisha uolewe mkuu. Mwanakulitaka mwana kulipata,mtoto akililia wembe mpe
Yaani umembadilisha mazingira na kila kitu inaonekana jamaa ni mario
Angalia wasije kukupa radhi Mjukuu 😅Yaan sio mie, bora nichukiwe ila kukubali unafiki hiyo hulka sina kwa kweli. Ukweli nitawaambia haijalishi watanionaje au watanifikiriaje sijali kikubwa mie unafiki nimeukataaa.
Tena kwa jambo langu binafsi ndo kabisaa nitawafurahishaa mbna. khaaaah
Maza itakuwa alisharuka na huyo mshikaji. Maisha huwa yanakuja kama mnapambana na mnaelewana na kusikilizana. Sasa anachokitaka huyo Mama ndio hakipo na hakiwezekaniKwa maelezo ya huyu dear, mama ake anataka mkwe mwenye hadhi na uwezo ili awatambie wamama wa wenzie wa mtaani. Sasa km sio nongwa nini? Anashangazaa mnoo.
Pengine mama ashaliwa kimasihara na huyo kijanaHabari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-wote tumeishia 0- level kielimu
- mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-anataka kunioa pale nikiridhia
sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Inawezekana Mamako aliwahi kuwa na mahusiano na huyo "Mwamba" jaribu chunguza hili.Habari za saa hii wana Jf

Nadhani hujamuelewa, ndio maana umeshindwa kumshauri vizuri.Lazimisha uolewe mkuu. Mwanakulitaka mwana kulipata,mtoto akililia wembe mpe
Yaani umembadilisha mazingira na kila kitu inaonekana jamaa ni mario
Nimemuuliza huyu muhusika Je wanaishi na Wazazi wote wawili? Na vile vile Mama yake inawezekana keshaliwa tayari maana huyo Mama anaonekana ana Uswahili na Ushangingi mwingi mnooInawezekana Mamako aliwahi kuwa na mahusiano na huyo "Mwamba" jaribu chunguza hili.
28yrs na bado Mama hataki uolewe ! Kumbuka huyo jamaa ataishi na wewe na sio Mamayako.
Je, Babako yeye anasemaje juu ya Mahusiano yako na "Mwamba" huyo?
asantee mkuuNi ngumu kidogo. Kwanza nikupongeze kwa kuwa binti mwenye kujitambua. Unajua kuwa mwanaume wako unaweza kumtengeneza akawa utakavyo japo si kwa %100. Una msimamo na kutojikweza kama wavinti wengine huku kitaa.
Mama yako anaonekana kma mmama flan hivi mkorofi mwenye imani za kiganga. Ni ngumu sana kumbadili. Ila kuna imani huwa tunayo kuwa mzazi hiwa ana hisia flan kwa mtoto wake akihisi jambo linaweza kuwa kweli, hapo mduo ugumu wa kuamua unakuja.
Ushauri wangu, jipeni muda zaidi. Narudia, muda ndio msema kweli siku zote. Miezi mitatu ni michacje sana kuamua uoa au kuolewa na mtu. Hata mimi yalinikuta mwaka jana haya mambo ya kutomchunguza vyema mtu wako.
Wewe ungana no wote bi maza na mshikaji wako. Mfanye bi maza aamini umemwelewa huku wewe ukiendelea na mchizi wako. Mchizi mweleze hali halisi kuwa bi maza anabana hiyo mjipe muda wa kudate chinichini.
Achana na mapenzi ya kujionesha kwa watu, achana na mihemko kwamba lazima iwe mwaka huu. Kama ipo ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.Angalia wasije kukupa radhi Mjukuu [emoji28]
Penginee ukute kweli wakishakulana au anataka awe nae yeye, kwann hataki kutoa sababu za kuelewekaa lolMaza itakuwa alisharuka na huyo mshikaji. Maisha huwa yanakuja kama mnapambana na mnaelewana na kusikilizana. Sasa anachokitaka huyo Mama ndio hakipo na hakiwezekani
Dada jua linakaribia kuzama, mwambie maza hivyo utakuja kulea wajukuuHabari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-wote tumeishia 0- level kielimu
- mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-anataka kunioa pale nikiridhia
sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- aliwahi kuishi na mwanamke
-anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- hana mvuto mbele za watu
-hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-hana hadhi ya kuwa na mimi
sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
nmepata feeling mama angu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangwa.
Mimi hizo radhi washanipa sana lakini naendelea shwari kabisaa. Unafiki au kufanyiwa jambo ambalo silipendi au silitaki huwa sikubali nitaruka na mtu yeyote yule.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.
Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapige threesome sasa yaani kuna wazazi wa hovyo sana hapa Afrika. 😆Penginee ukute kweli wakishakulana au anataka awe nae yeye, kwann hataki kutoa sababu za kuelewekaa lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]