princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
-
- #141
Kuna watu huko juu wamesema wana haki ya kuwa miungu watu juu yetu...na mimi umri nilionao ni mtoto tena foolish ageTatizo wazazi wa kibongo ni miungu watu na wanaamini wako sahihi kila jambo.
Miaka 28 ilibidi uwe unamwelekeza mwanao ona sasa ndo kwanza unapangiwa maisha.
Wewe olewa
ningemkubaliMleta mada naomba nikuuluze,hivi kama ungekuwa "umesoma" huyo jamaa usingemkubalia sio?
mi mwenyewe japo mtuhumiwa ila nmeshangaa hio foolish age ya kukaribia 3028 ni foolish age??..
Hii mpya hii
asante ngoja niweke alarm.Pole sana Miss ushauri wangu Wewe simamia kile unachokiamini na hakuna kitu kinachodumu kama hakina changamoto. Hizo ni changamoto tu na hawa Mama zetu wa kiswahili wana shida sana. Yameshanikuta mengi sana na Mama mzazi tena ni magumu mno, nikaamua kukaa Kimya tu na kuendelea na mambo yangu. Mbona yeye mwenyewe alijigundua kanikosea sana na akaniomba sana msamaha. Na mimi huwa sihifadhi chuki moyoni maana chuki ni uchafu wa roho. Endelea na mshikaji wako kama kawaida na kama una nafasi kila Jumatatu na jumatano uwe inasikilizwa radio TBC taifa kuanzia saa 5 usiku utafaidika na mengi sana.
wamesema nimsikilize mana ni mkubwa nisiolewe na mvuta bangi mana mpaka nachoka mimiMazaako ana vituko asee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
π π πBasi sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazazi wengi hasa wamama ndo zao hizoPoleee kwahiyo mama anataka mkwe mwenye hela, mwenye hadhi na msomi oke oke
Mamaako anakuonea wivu.... wanawake Wana shida sanami nmempa nafasi ajiprove ila mama kasema hataki tu hapo ndo nachoka na sababu zake ndo hizo
Kuna wengine humu ni wapuuzi tu na huwa wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni vibaya. Maisha ni yako na Nyege ni zako achana na watoto ambao bado wanakula chakula cha Wazazi waotatizo mna complicate mambo wapi nmesema naolewa???
nani kakwambia nna nyege??
kwahiyo ushauri wako katika yote nilioongea umeona useme hivyo
Namshukuru Mungu mama angu alinishauri tu wangoni na wamakonde nisijaribuWazazi wengi hasa wamama ndo zao hizo
Ukikutana na mazaangu sasa si ungechoka[emoji16][emoji16][emoji848]Punguza kumwambia kila kitu maza,, hapo kwenye hadhi anajiona kazaa beyonce sio[emoji23][emoji23]ila wazazi wengine wanazingua
Anataka zake mkwe mwenye mawe asipate shida ndogondogoUkikitana na mazaangu sasa si ungechoka[emoji16][emoji16][emoji848]
Yaan nisingejipindua kukataa maushauri yake ningedoda[emoji38]
Kila mwanaume hamtaki sasa sijui alikuwa anamtaka Bill Gates [emoji848]
kwake yeye mwenye hela hata akinichoma na gunia mbili ni sawa, hata nikiwa sina amani mana ana hadhi na yeye ataonekana kuwa ana mkwe wa maana.princess ariana Mimi naamini huyo mshikaji anakupenda kuliko wewe unavyompenda kwa sababu anakusikiliza na ameacha kutumia mambo yetu baada ya kumwambia. Na ulevi wa pombe au madawa ya kulevya wakati mwingine huwa yanatokana na upweke. Pendaneni bhana huyo Mother wako atakuja kuelewa tu. Upendo ndio kila kitu. Yeye anakulazimisha upate Bwana mwenye hela Yeye anadhani hela ndio chanzo cha furaha? [emoji23]
Kwa kweliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
Hana hoja yoyotee mbona bangi fresh tuusimpuuze mama ana hoja,hasa kwenye kuvuta bangi na pombe kama ni kweli
Huyo mama ako nae sasa ana tabu, ana ubaguzi wa makabila, sasa wangoni walikosea nn au wana tatizo gan?Namshukuru Mungu mama angu alinishauri tu wangoni na wamakonde nisijaribu
Ila wengine hakaaa kikubwa tupendane hata kama ni muislamu wala nisiogope
Shida haziishii aisee πππAnataka zake mkwe mwenye mawe asipate shida ndogondogo