princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #141
Kuna watu huko juu wamesema wana haki ya kuwa miungu watu juu yetu...na mimi umri nilionao ni mtoto tena foolish ageTatizo wazazi wa kibongo ni miungu watu na wanaamini wako sahihi kila jambo.
Miaka 28 ilibidi uwe unamwelekeza mwanao ona sasa ndo kwanza unapangiwa maisha.
Wewe olewa
wakati wao wazazi kwa umri wangu walikua washazaa mizao kadhaa.
ila sasa sisi bado tunapangiwa maisha wanavyotaka katika umri huu ilihali kama ni mengi nmeyaona japo hayafikii yake ila atleast hata aniskilize