princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
- Thread starter
- #201
ni kweli sina mpango wa kuzaa nae kwa sasa nae anajua hilo amekubali kwahiyo ni safe tuMleta mada Kuna watu wanishauri ubebe mimba,,
Mimi nipo kinyume na hao Wala usibebe mimba mwsho wa kuja kuitwa single mama utayaweza?
Fanya maamuzi sahihi mwanamke,,,umskilize mama au uiskilize nafsi Yako..
mama Yako anapenda mwanaume wa kukuoa awe msomi ambae tabia zake hazijulikani hapo mtaani ..hata kama akiwa mlevi,jambazi, tapeli? Ndo mama Ako anavotaka.
Loh!
yani kama ulikuwepo mama anasema heri mlevi, mwanga mshenzi ila atoke mbali can u imagine ????
manake sikumoja nmemwambia hivi unawajua hao watu nilikua nadate nao wa mbali huko?? nilikua natoka na majangili dakika yoyote anakupasua hana masihara hata kidogo mtu anaku abuse kabisa ila wewe hujui kuna wakati nilitaka kupigwa kisa tu nilikua nmesimama mkaka akaja akaanza kunisemesha siunajua wanaume wakiona binti nikamwambia niko na mpenzi wangu yule pale , isingekua yule shemeji alikua anaongea nae kaona lile swala nilitaka kupigwa pale airport na mtu ana miraba minne sema mama hajui mimi mpaka hapa nmepitia kiasi gani...
ila ndo hivyo hataki kuniskiliza anaona kama nayazua