Mama hamtaki Mpenzi wangu

Mama hamtaki Mpenzi wangu

Mleta mada Kuna watu wanishauri ubebe mimba,,

Mimi nipo kinyume na hao Wala usibebe mimba mwsho wa kuja kuitwa single mama utayaweza?

Fanya maamuzi sahihi mwanamke,,,umskilize mama au uiskilize nafsi Yako..

mama Yako anapenda mwanaume wa kukuoa awe msomi ambae tabia zake hazijulikani hapo mtaani ..hata kama akiwa mlevi,jambazi, tapeli? Ndo mama Ako anavotaka.

Loh!
ni kweli sina mpango wa kuzaa nae kwa sasa nae anajua hilo amekubali kwahiyo ni safe tu
yani kama ulikuwepo mama anasema heri mlevi, mwanga mshenzi ila atoke mbali can u imagine ????
manake sikumoja nmemwambia hivi unawajua hao watu nilikua nadate nao wa mbali huko?? nilikua natoka na majangili dakika yoyote anakupasua hana masihara hata kidogo mtu anaku abuse kabisa ila wewe hujui kuna wakati nilitaka kupigwa kisa tu nilikua nmesimama mkaka akaja akaanza kunisemesha siunajua wanaume wakiona binti nikamwambia niko na mpenzi wangu yule pale , isingekua yule shemeji alikua anaongea nae kaona lile swala nilitaka kupigwa pale airport na mtu ana miraba minne sema mama hajui mimi mpaka hapa nmepitia kiasi gani...
ila ndo hivyo hataki kuniskiliza anaona kama nayazua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio ke wala me wote tunapenda ngono mnooo.
Nakumbuka enzi hizo ke za kule Ruvuma zilikuwa zinapenda kuvuliwa 🩲 sana kuliko hata kula na hazina mambo ya una shilingi ngapi? wewe tu na ghetto lako 🤣🤣🤣
 
Pole sana dear mama ana umuhimu wake sana ila naomba usali mwambie Mungu akuonyeshe kama huyo mwanaume ni wako atabaki najaribu kuvaa viatu vyako nashindwa pole kipenzi
 
Amna sababu ya maana hapo anamsagia kunguni tu jamaa.

Labda umuulize yeye angependa uwe na nani?? Labda kuna mtu anamuona hapo mtaani anakufaa ila ndo ivo ww hujawa nae ndo inamuuma.
 
Na hio Olvel tulioishia ni maisha tu sio kwamba ndo 0 brain..
Umalaya hio Cv hana na mpaka mama mwenyewe anajua
nilichoona mama ana Matarajio makubwa mno juu yangu ambayo yeye hakuyatimiza anataka niyatimize anaona kama namfelisha
Utakuwa mzuri sana mpaka mama anaona huyo jamaa sio level zako,mi naomba kujua tuu tangu umemaliza form 4 ulikuwa unafanya nini mpaka leo hujishughuli na chochote jamani mpaka wachumba wanakukimbia.vipi huyo jamaa ako ana watoto? kama anao wewe msikilize tuu mama ako afu tafuta shughuli ya kufanya ata kama ni kazi za ndani uko UAE uchangamshe akili uache kubishana na mama ako, au muomb ndugu yoyote akulipie ata veta ukasome ata ufundi umeme 😂 ukakae huko huko boarding. Unajua ukiwa mtu mzima bado unakaa home na huna hela basi kila siku lazima ugombane na mama ako.
 
kama umeridhika naye kwa vigezo vyako na mzazi wako anaendelea kuyawekea 'hand break' mahusiano yako mbebee mimba huyo mwanaume wako mengine yataji-troubleshoot yenyewe.
 
Utakuwa mzuri sana mpaka mama anaona huyo jamaa sio level zako,mi naomba kujua tuu tangu umemaliza form 4 ulikuwa unafanya nini mpaka leo hujishughuli na chochote jamani mpaka wachumba wanakukimbia.vipi huyo jamaa ako ana watoto? kama anao wewe msikilize tuu mama ako afu tafuta shughuli ya kufanya ata kama ni kazi za ndani uko UAE uchangamshe akili uache kubishana na mama ako, au muomb ndugu yoyote akulipie ata veta ukasome ata ufundi umeme [emoji23] ukakae huko huko boarding. Unajua ukiwa mtu mzima bado unakaa home na huna hela basi kila siku lazima ugombane na mama ako.
ni kweli nilikua nafanya kazi boss akahama mwaka juzi ndio tangu hapo natafuta sipati ila mambo mengine napambana nayo kichumvi chumvi ila sio official/ au kazi za tempo
Sio mzuri kiivyo basi tu mi najionaga kawaida mana nmeona wadada wazuri sana.
wachumba skuizi wanataka uwe na kazi
 
ngoja nimuulize
yeye anataka tajiri tu afu awe mzuri msafii yani perfect match
Dah 😂😂😂😂
Mwonekano wa nje hiyo sio kigezo cha mahusiano ya kudumu. Uzuri wa ndani ya moyo ndio kigezo. Huyo mama anafeli sana
 
Pole sana dear mama ana umuhimu wake sana ila naomba usali mwambie Mungu akuonyeshe kama huyo mwanaume ni wako atabaki najaribu kuvaa viatu vyako nashindwa pole kipenzi
ndo namimi nataka nizidi kusali Mana haya bila Mungu kuamua ntaumia sana mana nahisi kuchanganyikiwa
 
Hii nayo muhimu.
anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!!
 
ni kweli nilikua nafanya kazi boss akahama mwaka juzi ndio tangu hapo natafuta sipati ila mambo mengine napambana nayo kichumvi chumvi ila sio official/ au kazi za tempo
Sio mzuri kiivyo basi tu mi najionaga kawaida mana nmeona wadada wazuri sana.
wachumba skuizi wanataka uwe na kazi
Vipi huyo mtu wako ana watoto?
 
Back
Top Bottom