MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Olewa nae ila jiandae kuwa mfuasi wa Kuhani Musa au Mwamposa kwa misukosuko ya huko mbeleni kwa stress zitakazokupata..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wahuni wanajuaga kupenda hao,yaani akiwa na demu wake anamuonjesha nyasi wanablaze pamoja burdan......wanajikuta zao wako JamaicaSema baby kaisha pendaaa msela.. penzi la ma bad man lime mkoleza
wahuni hata kwa sita by sita shughuli wanakupeaaa haswaaaHalafu wahuni wanajuaga kupenda hao,yaani akiwa na demu wake anamuonjesha nyasi wanablaze pamoja burdan......wanajikuta zao wako Jamaica
Kama ni hivyo basi wahuni WALINDWEwahuni hata kwa sita by sita shughuli wanakupeaaa haswaaa
sio mtufate PM 😉Kama ni hivyo basi wahuni WALINDWE
Wanakuwa na kiu kuu 😅Hao wanaojifanyaga wameokoka siku wakifunguli mtaenda mkuta kwenye mtaro..
We ntake radhi we😆sio mtufate PM 😉
😊😅😅 wahuni hatuna kazi mbovu, wala baya na mtuWe ntake radhi we😆
We Kama muhuni endelea tu na harakati zako,mi sitaki kulishwa nyasi😊😅😅 wahuni hatuna kazi mbovu, wala baya na mtu
Ulieishia o level unajua mambo ya Toxic/ narcissistic mom wewe utakuwa unatuchora tuHabari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
-Wote tumeishia 0- level kielimu
- Mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani akaachana na mwanamke wake baada ya kuachishwa kazi ( kampuni ilifilisika)
- Kwasasa ana biashara zake
-Anataka kunioa pale nikiridhia
Sasa tatizo linaanza baada ya mama kuhisi uhusiano baina yetu, anasema kijana hafai kwanza
-Ana vuta bangi/pombe
-Hajui kuvaa sio mtanashati
- Aliwahi kuishi na mwanamke
-Anatoka familia ya kawaida kama yetu kwahiyo hafai hatanisaidia chochote
- Hana mvuto mbele za watu
-Hana Cv nzuri hata nikimtambulisha
- Anahisi kaniroga ndo mana nmekua nae kimahusiano
-Kwanza anakaa maeneo ya karibu na nyumbani
-Hana hadhi ya kuwa na mimi
Sababu ni nyingi!!
Kwa kuliona hilo tukaamua basi ahame makazi tayari kashahama, mazingira yote tumeyafanya yawe mapya,kwa kila kitu cha hadhu anayoitaka mama,nmeshambadilisha huo muonekano kwa kiasi chake ili afanane na anavyotaka mama ila naona pamoja na kutaka aridhike ila kila siku anaanzisha sababu mpya ya kumkataa anasema anajitutumua tu ili anipate na pombe ameacha anipate akishanioa ntapata shida mana atarudi kwenye mambo yake yote!! Pia namdhalilisha kwa wamama wenzie kwa kuwa na mahusiano na jamaa
- Mama anasema yuko tayari kwenda kwa mganga yoyote akavunje mahusiano mana kwanza jamaa atakua kaniroga sio kawaida.
Sasa hapo nifanyaje wakuu? Maana naona nachanganyikiwa kila siku anaanzisha jambo jipya! ilihali nmemwambia mimi mwenyewe sijasoma! Kazi sina wala bishara yoyote na kijana wa watu ameridhia ana fanya kila jukumu lake bila kinyongo ila mama anasema anafanya mana hana hadhi ya kuwa na ww ndo mana inabidi afanye tu...
Kinachoniumiza ni hakuna siku amewahi niuliza changamoto za maisha yangu ya mahusiano. nmejaribu kumwambia wachumba wakija wakijua sijasoma/sina kazi wanagairi haelewi.. anasema umerogwa wewe
nikiomba space nitulize kichwa sipewi naambiwa mpaka utanielewa...
Nimepata feeling mama yangu ni Toxic /narcissistic mom ila nikieleza hisia zangu yeye ana cheka ndo ananiona kama mpuuzi..
Maana mimi nmemwambia kwanini tusimwachie Mungu tu kama Mungu hajapanga tutaachana tu ila kwa ridhaa yetu mengine tutarekebishana sitaki uwe kama unanipangia maisha ila haelewi kabisa , niko njia panda maana maisha nayaona machungu kabisa ni mimi ndo tatizo au mama? Nishaurini wakubwa kabla sijashuka presha nikazimika mana bi mkubwa kasema kama ntakufa nife mana ndo ilivyopangw
😅😅😅😅 nyasi ni dawaWe Kama muhuni endelea tu na harakati zako,mi sitaki kulishwa nyasi
hapo shika mimba ya jamaa [emoji4][emoji4]
mama mkwe atapoa kidogo japo sio sana, alafu ukizaa unapumzika mwaka tu, unanasa mimba ingine.. ukizaa ingine unapumzika kidogo unashika ingine
Nani alikudanganya kuwa mlevi na mvuta bangi huacha ulevi.Na hivyo vitu sio kivile, pombe ameacha tangu nimwambie mi pia staki hivyo vitu akishindwa kuacha tutakua tu casual amenielewa anayafanyia kazi hayo
ukimuuliza anasema umemtukana
😅😅😅😅😅Endekeza tu,ufunguliwe file mirembe😅😅😅😅 nyasi ni dawa
ili azae na sio kukomoanaAbebe mimba ili kumkomoa bi mkubwa sio?
😁😁😁 wahuni tuna vitu special, alafu huwa hatu cheat... PM ipo wazi😅😅😅😅😅Endekeza tu,ufunguliwe file mirembe
Tatizo tukiwapeleka kwa mama 😄,bi mkubwa machale yanamcheza anakutosa😁😁😁 wahuni tuna vitu special, alafu huwa hatu cheat... PM ipo wazi
😅😅 kabla ya kupelekwa kwa mama, mimba kwanzaa, bi mdash atapunguza tu wengeTatizo tukiwapeleka kwa mama 😄,bi mkubwa machale yanamcheza anakutosa