shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.Mchumia tumbo kwenye ubora wako, hapa unatafuta uteuzi tu mzee.
Nchii hii inaharibiwa na walamba makalio ma sisi wazee wa hewala, kelele na makasiriko mtandaoni bila vitendo.
Acha hzoo hivi kuna mtanzania leo akipewa uraisi atashindwa kuiongoza hii nchi kweli?
shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.
siku tukipata katiba mpya ambayo itampunguzia madaraka ya kiutezi rais, nchi itakuwa na machawa wachache sana wa kisiasa.
mazingira yetu hayana tofauti sana na kenya ingawa wametuzidi kwenye GDP.Shida siyo Katiba tu bali uchumi mdogo wa Tanzania, ukiondoa Serikali hakuna sehemu nyingine utaenda, TZ hakuna sound private sector ambayo inaweza kusimama yenyewe, kila kitu kinategemea Serikali hata Kampuni binafsi wanahitaji tenda ktk Serikalini ili waishi, nchi zenye maendeleo private Companies wana goods and Services ambazo wana export nje ya nchi na ku earn money sasa Tanzania hakuna export yoyote ya maana ni uchuuzi tu hivyo huwezi ikwepa Serikali ndio maana unawaona watu kama wameweuhuka ninkwa sababu hawana jinsi sehemu pekee ambayo unaweza kupata fedha ni kupitia Serikalini tu, hukwepi hilo, …
mazingira yetu hayana tofauti sana na kenya ingawa wametuzidi kwenye GDP.
ila wenzetu wapo real sana, katiba yao inafanya wajiamini sana. huwezi kukuta machawa wa kisiasa na watu wa kujipendekeza kwa mkuu wa nchi kama wanavyofanya wanasiasa wa tz.
hapa kwetu hali ni mbaya sana. shida ni nini?. athari ya siasa ya ujamaa, elimu, umaskini, uoga?.
Probably she is the only president aliyekwenda kwenye chuo cha urais na kugraduate, hongera, now she is back.Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
Pasco bana!!!Wanabodi,

Kwa kauli yake ni kwamba Atataka uwe unaenda kumuuliza Kila kitu na hutakiwi kutumia akili Yako kuamua au kuhoji chochote.Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
Mkuu Mayalla mama yupo sahihi sana shida kubwa iliyopo watu wanaomzunguka ni shida sana kwa maslahi ya Nchi hii mama anakopa na kuingiza pesa kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kuanzia local Govmnt hadi Serikali kuu wamejaa wapigaji tu. Mama angeboresha taasisi za kiuchunguzi kwanza zitoe elimu kwa wasimamizi wa mirdi then waingie field kufanya uchunguzi baada ya miradi pia ufiatiliaji fedha zote za miradi toka serikali kuu hadi local Govmnt vinginevyo mkuu Nchii hii watu wanavuna huwezi amini hata kwenye POS za local Govmnt kuna loop kubwa sana ya upigaji kupitia mfumo wao wa Local Govmnt Revenue Collection system.Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
Hayupo 🤔🤔Acha hzoo hivi kuna mtanzania leo akipewa uraisi atashindwa kuiongoza hii nchi kweli?
Takwa la kisheria, sheria ndogo ndogo lakini . 😅Bashiru amegonga kwenye kidonda ndio maana kelele ni nyingi kumbe anaupiga mwingi ni hitaji la moyo🤣🤣
Hili ni jibu rasmi kwa Lissu & Lema kutoka huko waliko!Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
"Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo!"Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
Umenena😂Takwa la kisheria, sheria ndogo ndogo lakini . 😅
Zipo Mkuu kama zimejaa !anachomolewa mtu anapewa ubalozi !then there you go!!Paskali Kwani nafasi 10 Ubunge za rais bado zipo?