Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

Jamani msiogope... buyu bado lipo.... ni swala la muda tu...! Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake
 
Mchumia tumbo kwenye ubora wako, hapa unatafuta uteuzi tu mzee.

Nchii hii inaharibiwa na walamba makalio ma sisi wazee wa hewala, kelele na makasiriko mtandaoni bila vitendo.
shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.

siku tukipata katiba mpya ambayo itampunguzia madaraka ya kiutezi rais, nchi itakuwa na machawa wachache sana wa kisiasa.
 
Shida siyo Katiba tu bali uchumi mdogo wa Tanzania, ukiondoa Serikali hakuna sehemu nyingine utaenda, TZ hakuna sound private sector ambayo inaweza kusimama yenyewe, kila kitu kinategemea Serikali hata Kampuni binafsi wanahitaji tenda ktk Serikalini ili waishi, nchi zenye maendeleo private Companies wana goods and Services ambazo wana export nje ya nchi na ku earn money sasa Tanzania hakuna export yoyote ya maana ni uchuuzi tu hivyo huwezi ikwepa Serikali ndio maana unawaona watu kama wameweuhuka ni sababu hawana jinsi sehemu pekee ambayo unaweza kupata fedha ni kupitia Serikalini tu, hukwepi hilo kama unaishi Tanzania, na Serikali ina uwezo wa kujenga au kubomoa maisha yako na hakuna kitu utafanya, hata Mahakama haiwezi kukusaidia chochote kama Serikali ikikugomea na Mkuu wa Serikali ni raisi, no way around that!
 
Shida siyo Katiba tu bali uchumi mdogo wa Tanzania, ukiondoa Serikali hakuna sehemu nyingine utaenda, TZ hakuna sound private sector ambayo inaweza kusimama yenyewe, kila kitu kinategemea Serikali hata Kampuni binafsi wanahitaji tenda ktk Serikalini ili waishi, nchi zenye maendeleo private Companies wana goods and Services ambazo wana export nje ya nchi na ku earn money sasa Tanzania hakuna export yoyote ya maana ni uchuuzi tu hivyo huwezi ikwepa Serikali ndio maana unawaona watu kama wameweuhuka ninkwa sababu hawana jinsi sehemu pekee ambayo unaweza kupata fedha ni kupitia Serikalini tu, hukwepi hilo, …
mazingira yetu hayana tofauti sana na kenya ingawa wametuzidi kwenye GDP.

ila wenzetu wapo real sana, katiba yao inafanya wajiamini sana. huwezi kukuta machawa wa kisiasa na watu wa kujipendekeza kwa mkuu wa nchi kama wanavyofanya wanasiasa wa tz.

hapa kwetu hali ni mbaya sana. shida ni nini?. athari ya siasa ya ujamaa, elimu, umaskini, uoga?.
 
Kenya wametaucha mbali sana kiuchumi, private sector ya Kenya ni kubwa > ya mara mbili ya Tanzania, muwekezaji mkubwa Tanzania ni Kenya, hivyo Kenya unaweza ukaishi bila uchawa kwenye private sector maadamu unalipa kodi zao hawana shida na wewe labda kama unataka kuingia kwenye Siasa, Tanzania Serikali haikwepeki, kwa maana Serikali ndiyo kila kitu, Tanzania ndiyo nchi pekee Duniani labda na North Korea ambapo nchi nzima inategemea ajira za Serikali kwamba Serikali itangaze ajira ndiyo watu waombe, …
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco

Probably she is the only president aliyekwenda kwenye chuo cha urais na kugraduate, hongera, now she is back.
 
Bashiru Effect
na hapo ndio bado haja "zungumza", "amesema" tuu,
kinacho sababisha watu wasitilie maanani alicho sema ni matendo yake ya nyuma, lakini hata "wanufaika" wa sasa Wana paswa kujifunza kwake kwa sababu hawajui atakae fuata marafiki zake watakua akina nani
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco

Pasco bana!!!

Hapo hamna Cha btn the lines Wala nn!!!

Kiongozi wetu Kila akipewa nafasi kufafanua jambo Fulani "ANATOA BOKO".

Kila Jibu analotoa juu ya swali Fulani ndo anazidi kuongeza maswali Badala ya kuyapunguza.

Basi tu!!!!
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco

Kwa kauli yake ni kwamba Atataka uwe unaenda kumuuliza Kila kitu na hutakiwi kutumia akili Yako kuamua au kuhoji chochote.

Ndugu P,

Una HAKIKA, mada unazoandika JAMVINI hazitoshi kumsaidia kiongozi wetu na Nchi yetu Hadi ujisogeze karibu zaidi?
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco

Mkuu Mayalla mama yupo sahihi sana shida kubwa iliyopo watu wanaomzunguka ni shida sana kwa maslahi ya Nchi hii mama anakopa na kuingiza pesa kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kuanzia local Govmnt hadi Serikali kuu wamejaa wapigaji tu. Mama angeboresha taasisi za kiuchunguzi kwanza zitoe elimu kwa wasimamizi wa mirdi then waingie field kufanya uchunguzi baada ya miradi pia ufiatiliaji fedha zote za miradi toka serikali kuu hadi local Govmnt vinginevyo mkuu Nchii hii watu wanavuna huwezi amini hata kwenye POS za local Govmnt kuna loop kubwa sana ya upigaji kupitia mfumo wao wa Local Govmnt Revenue Collection system.
Watu wa tehama wanafuta madeni kwenye mfumo kwa defaulters na kupewa chao fasta sasa mama asiingie mikopo wakati kuna panya wengi wanachezea mifumo huku chini.
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco
Hili ni jibu rasmi kwa Lissu & Lema kutoka huko waliko!

Lissu alionyeshwa uungwana na huyu Mama,ila yeye akaugeuza mtaji wa Kisiasa!
 
Wanabodi,

Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.

Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...

Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...

Itaendelea....

Pasco
"Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo!"

Huu ndiyo ni ukweli na uhalisia wenyewe. Kihistoria kanuni imetumika mbinguni na duniani. Ndiyo iliyotumika kumfukuza Ibilisi na malaika zake mbinguni, ndiyo ilitumika kuwafukuza Adamu na Eva kutoka katika bustani ya Edeni.

Ndiyo! Mwl. Nyerere aliitumia kwa Kambona, pia na hata sisi wenyewe kwa wenyewe huwa tunaitumia kusitisha mikataba ya kazi zetu dhidi ya wale tunaothibitisha kuwa hawatufai kuishi nao kimkataba.

Mh. Ndugai analijua hili, na hata Makamba Sr na Mh. Kinana walilitambua jambo hili wakati ule wa JPM.
 
Back
Top Bottom