Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.Mchumia tumbo kwenye ubora wako, hapa unatafuta uteuzi tu mzee.
Nchii hii inaharibiwa na walamba makalio ma sisi wazee wa hewala, kelele na makasiriko mtandaoni bila vitendo.
Acha hzoo hivi kuna mtanzania leo akipewa uraisi atashindwa kuiongoza hii nchi kweli?
shida ni hii katiba tuliyonayo. imetengeneza mazingira ya watu kuwa wanafiki na kujipendekeza sana kwa mkuu wa nchi ili awakumbuke kwenye teuzi.
siku tukipata katiba mpya ambayo itampunguzia madaraka ya kiutezi rais, nchi itakuwa na machawa wachache sana wa kisiasa.
mazingira yetu hayana tofauti sana na kenya ingawa wametuzidi kwenye GDP.Shida siyo Katiba tu bali uchumi mdogo wa Tanzania, ukiondoa Serikali hakuna sehemu nyingine utaenda, TZ hakuna sound private sector ambayo inaweza kusimama yenyewe, kila kitu kinategemea Serikali hata Kampuni binafsi wanahitaji tenda ktk Serikalini ili waishi, nchi zenye maendeleo private Companies wana goods and Services ambazo wana export nje ya nchi na ku earn money sasa Tanzania hakuna export yoyote ya maana ni uchuuzi tu hivyo huwezi ikwepa Serikali ndio maana unawaona watu kama wameweuhuka ninkwa sababu hawana jinsi sehemu pekee ambayo unaweza kupata fedha ni kupitia Serikalini tu, hukwepi hilo, …
mazingira yetu hayana tofauti sana na kenya ingawa wametuzidi kwenye GDP.
ila wenzetu wapo real sana, katiba yao inafanya wajiamini sana. huwezi kukuta machawa wa kisiasa na watu wa kujipendekeza kwa mkuu wa nchi kama wanavyofanya wanasiasa wa tz.
hapa kwetu hali ni mbaya sana. shida ni nini?. athari ya siasa ya ujamaa, elimu, umaskini, uoga?.
Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco

Hayupo 🤔🤔Acha hzoo hivi kuna mtanzania leo akipewa uraisi atashindwa kuiongoza hii nchi kweli?
Takwa la kisheria, sheria ndogo ndogo lakini . 😅Bashiru amegonga kwenye kidonda ndio maana kelele ni nyingi kumbe anaupiga mwingi ni hitaji la moyo🤣🤣
Hili ni jibu rasmi kwa Lissu & Lema kutoka huko waliko!Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
"Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo!"Wanabodi,
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama.
Kwa sisi wasikilizaji wa listening in between the words, na reading in between the lines, ni waona mbali, kuna kitu hapa tunaanza kukiona kwa mbali kumhusu Mama Samia...
Naomba kabla sijakisema, naomba kwanza kutumia bandiko hili kumhakikishia Mama yetu kuwa mbona kuna kundi kubwa la watu, makundi, taasisi na watu binafsi individually walioonyesha kwa mawazo, kauli na matendo kuwa
" Mama Im Here to Support You, I'm Here to Serve Our Country, I'm Here Sio Tu Kuonesha Ujuzi Wangu Kwa Nchi Yangu bali Kuutumia... But...
Itaendelea....
Pasco
Umenena😂Takwa la kisheria, sheria ndogo ndogo lakini . 😅
Zipo Mkuu kama zimejaa !anachomolewa mtu anapewa ubalozi !then there you go!!Paskali Kwani nafasi 10 Ubunge za rais bado zipo?