Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

Uko sahihi hans mshkaji wa kaliqweli, lakini edo alikuwa mwaka wa tatu sikumbuki kozi yake,kipindi hans yuko na happy na walikuwa wapenzi bado na bado akawa na edo.
Sijawai kujua kama kasoma Ifm jamaa na ni ngumu kuamini maana jamaa mshimba mshamba wa hela sana, kuna rafiki yake happy mmoja jeupe lilikuwa na zigo balaa sijui alikuwa wa Arusha yule naye kadisco mapema tu

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 

Wote mlionayo hiyo video na kuamua kuninyima connection ahsanteni sana maana utafikiri mnaninyima chakula!​

Nawaombea simu zenu zenu mabattery yafe na simu zisishike tena network, au mabattery yaripuke na misimu yenu isitengenezeke tena.​

[emoji848][emoji848][emoji848]
Lete no utumiwe uache Kulia lia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii video nashangaa inavypewa promo, sioni maajabu humo ndani
Ndugu wa aseno ingawa timu haifanyi poa lkn tukija kwa mama j fanya kunisambazia upendo huwezi amini hadi leo sina hiyo connection pm ya gu iko wazi fanyeni kutupia wadau
 
Back
Top Bottom