Mama J, shabiki wa Yanga

Inawezekana katika hilo group kulikuwa na jamaa la Simba ndio likavujisha file........
manake Simba kuna mijitu koko sana
Sasa mtu atume kwenye kundi ulitaka wabaki nazo kama nani?


Wake zake?
Ile ni public mkuu ...wewe na mataputapu yenu huko yanga mkikosea kama kawaida yenu mkaleta seblen sisi tunafowadi tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…