Mama J, shabiki wa Yanga

Vipi ulikumbuka soksi?
 
Sema wanaume tunazinguaga knoma. Unakuta dada wa watu kakuelewa sana (mtasema ni ujinga wao) kiasi mtu unaomba nude picha unatumiwa, unaomba nude video unatumiwa, unaomba nude video call unapigiwa, sexting kama zote.

Then all over sudden unaenda kujisifia kwa watu na kuzisambaza aargh!!! What for now!!!? Mi mwanaume wa hivi naona kama ni mtu asie jielewa na hovyo +++

Ifike mahala tuheshimu faragha zetu inapo fikia wakat unaanza kumsema mtoto wa kike kwa kutuma picha na video za utupu anza na yule mwanaume alie sababisha yote wengi wanafanya ivi kwasababu tu ya upendo then we are taking it for granted. Si unaona yule msanii wa mitegoni alivyo nae na akili za hovyo anasema "hawakatai" kawatungia na wimbo. Hao wanao omba izo picga na video mbona hajawaangalia? Ujinga tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa haijaishia hapo, watu wana Pt 2-3 ile uwanjani ni trela tu. Hatuiweki kwenye mahesabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mama J noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…