Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

Tusio na connection mjini hata sura ya mama J hatuoneshwi[emoji848]
Mama j
255693658250_status_de3046b586da4bcda56627230569e9fc.jpg
 
Ndio maana mm siwez ruhusu mke wangu aende peke ake kwenye event yoyote huo ujinga nilishakataa maana hivi vichwa navijua vzr hasa vikitupia tungi wastan .

Mwanamke yeyote kwa asili akishakunywa pombe anakuwa sio yeye .

Picha limeanzia uwanjan ,huenda jamaa alimuona alivyokuwa anayarud pale uwanjan akarusha ndoano na kumfuata wakaanza kulewa hapo hapo kwa ground si unajua watu wanatembea na take away.

Mdada zikampanda wakakubaliana wakapige game na demu pombe imekolea kila kitu ikawa ni ndio.

Sema nn aliyevujisha hizo video ni jamaa tena hakutegemea kabisa hapo lazima kaenda kumwonyesha mshkaji wake wa damu kuwa leo sijatoka bure taifa, cheki huu mzigo ,mshakaji wake nae kajirushia fasta bila jamaa kujua nae kaenda kwa mwingine kumwonyesha ngoma ndio ikawa hewan kwa namna hiyo.
kwani huyo jamaa sio mume wake?
 
Back
Top Bottom