Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

Baada ya mtanange uwanjani shabiki wa yanga maarufu mama J na kijana wa mjini wametoa filamu ya mwaka .
FB_IMG_16303575608491379.jpg
 
ila acheni bwana haya mambo mengine. kutoa taarifa kuwa kaolewa na kwamba kaliwa tunda kimasihara siku ya mwananchi mnataka kumsababishia nini huko nyumbani kwake ili mfurahi? mauti au? nilifikiri jf ni more than this!!!!
 
Kwa jinsi nilivyohangaika kuitafuta hiyo video, ukianzia huko jamhuri ya Twitter, Instagram na humu jf lkn kote kote hola, hatimae nimefanikiwa kuipata kunako whtsup na msamaria mwema mmojahivi, na mie simtumii mtu yoyote humu, angalizo... msinifuate PM kunibembeleza, ubaya ubaya tu na nyie mhaingaike
Mh una roho mbaya
 
Nakupa moja tu Kati ya nyingi nilizoona. LIVE.
Mama ntilie anaamka alfajir wakati hajavaa hata chupi na hapo ametoka kukupa uroda. Akisha pika chapati ya kwanza anaisubiri ipoe halafu anaiweka kwenye stuli na kuikalia nyama nyama bila chupi Wala kanga (kipindi hicho namcheki nimejifanya nimepitiwa na usingizi wa asubuhi baada ya kuchezea puche usiku kucha)
Maji aliyosafishia puche ndio yanatumika kukandia maandazi.
Unaweza kukuta akiopoa chapati anaiweka kwenye ungo humo humo Kuna chupi yake aliyovaa Jana na haijafuliwa.
Kiufupi ukila chakula Cha mama ntilie hasa wale toka Kigoma utakua umekula vingi vitamu na vyenye ugwadu.
Dah!kama ndio hivyo noma aisee!
 
Mtu akiazima simu anajilushia,
Kwa mafundi simu ,
Njia zip nyingi sana
Ndiyo maana vitu vyako muhimu lazima viwe na chimbo lisilofikika bila muhusika wa simu kufungua maana simu hata watoto sometimes huchezea.
 
Back
Top Bottom