Mama J, shabiki wa Yanga

Mama J, shabiki wa Yanga

yaaa ni kweli nako kwenye mikesha ya misiba ni balaa jingine ...kuna shemeji yangu alifiwa na mume wa rafiki yake wakawa wameleta msiba mkoa ambao nafanyia kazi ...bro akaniomba nikampe kampani shemeji ksb yeye haji kwa hiyo nikatoka kijijini ninakofanyia kazi nikaenda msibani mjini nikajoin nao tukazika jioni tukawa tumekaa bar karibu na pale msibani shemeji alikuwa na wadada wawili ambao amekuja nao kusindikiza msiba ni wamama watu wazima basi nikawa nawanunulia pombe kwa heshima ya shemeji walikunywa sana sasa wakati nimeenda toilet ile natoka nikakutana na mama mmojawapo akanifuata akanikumbatia na kunikis .. sikulemba nikachukua namba ya simu nilivyorudi kwenye mkao nikaanza kutafuta guest ya karibu nikamtext akatangulia kwenye ile guest mie nikazuga zuga walivyoondoka tukaagana kuwa nakwenda kulala .. nikaenda na lile mother .....
Ulitumia ndomu mkuu
 
Back
Top Bottom