Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

Mkuu serikali zote duniani huwa zinaua wale ambao wanaonekana kidomodomo nikuambie.

Unadhani Kuna uongozi unapita bila ya kuua. Watu wanazamishwa baharini wamefungwa chuma/mawe wawe chakula Cha papa.

Yaani mkuu wako wa nchi unamtukana halafu eti uachwe hivihivi.

Hata huko USA Kuna miaka walikuwa wanadhibiti wanawake wasivae nguo ndefu Kama wadhani ndio baba wa demokrasia.

Pia huwezi jua yote ya USA Mana wao wanaamua usikie wanachotaka wao sio Kama wewe unavyotaka.
Basi jpm alistahili kufa ili asiue wengi zaidi.
 
Anapoua ni Kama kiongozi wa nchi na sio kuwa ni yeye binafsi Mana before Hana hayo mamlaka. Unadhani wewe ni serikali ya dunia gani haipotezi raia wake wenye kuonyesha kuleta chaos katika nchi yake mkuu.
You've to be ruled by any means.
madness and junk portrayed as thinking. extra judicial killings by an unarmed person can never be justified even by a person who has never been to school!
 
Mkuu serikali zote duniani huwa zinaua wale ambao wanaonekana kidomodomo nikuambie.

Unadhani Kuna uongozi unapita bila ya kuua. Watu wanazamishwa baharini wamefungwa chuma/mawe wawe chakula Cha papa.

Yaani mkuu wako wa nchi unamtukana halafu eti uachwe hivihivi.

Hata huko USA Kuna miaka walikuwa wanadhibiti wanawake wasivae nguo ndefu Kama wadhani ndio baba wa demokrasia.

Pia huwezi jua yote ya USA Mana wao wanaamua usikie wanachotaka wao sio Kama wewe unavyotaka.
na Magufuli nae nasikia wafuasi wake wakisema aliuawa na sistim eti ni kweli?😂😂
Kama ni kweli, basi hii sistim ibarikiwe kwa kutuondolea lile gaidi
 
Msiba ulishaisha au ndio kila siku ni msiba? Njaa zitawafanya muabudu mizimu hii ni kumbukumbu sio msiba msitumie jina la Magufuli kwa kujinufaisha.

Kama kweli nyie mnamuenzi basi tungeona hata mtu mmoja akaonyesha kufuata nyayo zake sio kila siku kujifanya mnamuenzi ili muweke makongamano ya kujilipa mjaze matumbo yenu.
Msiba huwa hauishi- usilinganisha msiba na kilio au matanga.
 
Mleta mada hebu weka nukuu zako kwa usahihi. Kubadilisha neno moja tu yaweza pia kubadilisha mantiki/ujumbe kusudiwa wa msemaji.

Alimpigia simu lakini 'hakumpata'... X

Alimpigia simu lakini 'hakufanikiwa'... ✓

-Kaveli-
umesoma lakini huelewi- jaribu tena ujumbe unaotakiwa uufikie haujaufikia bado
 
kwa hiyo kiongozi wa serikali akiua ni sawa na anakuwa na ondoleo la dhambi kwa Mungu?
elimu ya uraia Tz bando sana.. Rais haui MTU..Bali taasisi yake inaeza Fanya hayo kama sehemu ya majukumu yake ... Jaribu kutupia kokoto msafara Wa Rais yeyote yule duniani uone utafanywa mini ...haha haa watakupa soda ya "mo"... Ni ujinga kusema Rais kaua
 
Kweli Mkuu msiba unauma.

Embu fikiri pia Maumivu ya Mama Ben Saanane nayo yakoje katika kubeba msiba wa mwanae ambaye hata hakumzika!
Mwambie akamfufue huyo kiongozi muua watu.
 
Back
Top Bottom