Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

Basi jpm alistahili kufa ili asiue wengi zaidi.
 
Anapoua ni Kama kiongozi wa nchi na sio kuwa ni yeye binafsi Mana before Hana hayo mamlaka. Unadhani wewe ni serikali ya dunia gani haipotezi raia wake wenye kuonyesha kuleta chaos katika nchi yake mkuu.
You've to be ruled by any means.
madness and junk portrayed as thinking. extra judicial killings by an unarmed person can never be justified even by a person who has never been to school!
 
na Magufuli nae nasikia wafuasi wake wakisema aliuawa na sistim eti ni kweli?πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama ni kweli, basi hii sistim ibarikiwe kwa kutuondolea lile gaidi
 
Msiba huwa hauishi- usilinganisha msiba na kilio au matanga.
 
Mleta mada hebu weka nukuu zako kwa usahihi. Kubadilisha neno moja tu yaweza pia kubadilisha mantiki/ujumbe kusudiwa wa msemaji.

Alimpigia simu lakini 'hakumpata'... X

Alimpigia simu lakini 'hakufanikiwa'... βœ“

-Kaveli-
umesoma lakini huelewi- jaribu tena ujumbe unaotakiwa uufikie haujaufikia bado
 
kwa hiyo kiongozi wa serikali akiua ni sawa na anakuwa na ondoleo la dhambi kwa Mungu?
elimu ya uraia Tz bando sana.. Rais haui MTU..Bali taasisi yake inaeza Fanya hayo kama sehemu ya majukumu yake ... Jaribu kutupia kokoto msafara Wa Rais yeyote yule duniani uone utafanywa mini ...haha haa watakupa soda ya "mo"... Ni ujinga kusema Rais kaua
 
Kweli Mkuu msiba unauma.

Embu fikiri pia Maumivu ya Mama Ben Saanane nayo yakoje katika kubeba msiba wa mwanae ambaye hata hakumzika!
Mwambie akamfufue huyo kiongozi muua watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…