Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
One of the luckiest family EVERJanuary Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki. Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni MuislamView attachment 3130792
Mama don wa mtaa na muumini aliyetukuka wa kanisa katoliki la wazo kwa makamba.January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki. Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni MuislamView attachment 3130792
Mzee Makamba huwa anatukoga kwa vifungu vya biblia kumbe darasa lote kapewa na mama.Safi sana.πKila heri kuzaliwa kutimiza umri wa biblia Mama January Ally...Mwamvita...Thuweini na wengine familia yenu......
Makamba sawa na JK wamesoma shule za mission .....bahati waliyopata kufika walipofikia.....Mzee Makamba huwa anatukoga kwa vifungu vya biblia kumbe darasa lote kapewa na mama.Safi sana.π
Familia zetu nyingi za Kitanzania ni familia-mseto.Haishangazi mimi nikikuambia nimekulia madrasa.Hii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Tingatinga alisilimu kabisa Ili amrithi Mwinyi 1995 ππHii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Kitambo sanaKumbe ni mkristo, ndio najua leo hii.