Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki. Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni MuislamView attachment 3130792
Halafu bado watu wanamuita January Makamba ni kiongozi kijana, mtu ambae yupo over 50yrs🤣🤣🤣
 
Hongera mama January na Baba january kwa kushinda ulimbukeni wa dini. Hapo wengine wangelazimishana mmoja abadili dini lakini ninyi mmeweza kuishi pamoja kila mtu akiheahimu dini ya mwenzake. Hakika huu ni mfano mkubwa wa kuigwa. Nilikuaha sielewi kwenini mzee makamba anaikua biblia sasa nimejua sababu. Hongera wazee kwa fundisho kubwa hili.
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Yani lijanuary ni lizuriii, hiyo height...Yani linafaa kuwa Rais kabisa. Tupate Rais mrefu wakati wake ukifika..
 
Back
Top Bottom