Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Uwaziri ukiisha ndio anakumbuka kanisa katoliki aiseeeee what!!!!!

Poleni kanisa katoliki hizi pole zimufikie mwadhama kardinali
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Huu ndio uzuri wa Tanzania, siyo ule udini wa faiza.
 
Jina January ni la kikatoliki linatokana na Mtakatifu Januarius, askofu na Shahidi, aliuawa na maadui wa wakristo mwaka 309BK, damu yake imehifadhiwa kama masalia ktk kanisa moja huko Italia na kwa miaka zaidi ya 400 mpk sasa mahujaji huenda kuhiji na kuona masalia hayo, tarehe 19 September ndiyo sikukuu ya Mtakatifu Januarius na damu yake hutolewa nje ikiwa ndani ya chombo ili mahujaji washuhudie, miujiza mingi hutendeka kupitia damu hiyo, muujiza mkubwa uliozoeleka ni kuwa kila mwaka damu hiyo huyeyuka na kuwa mbichi kabisa tena damu hai kama inayotembea mwilini mwa mtu, wataalamu wa afya wamethibitisha hilo, na kuyeyuka kwa damu hiyo hupewa maana mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuashiria mwaka wa mavuno, bahati, mafanikio, kuna wakati hata wachumba wakitaka kujua kama huyu ni mke sahihi wa maisha yake aliyepangiwa na Mwenyezi Mungu wanagusa damu hiyo, ikiyeyuka ndo mwenyewe, ikibakia imeganda sio yeye, wengine walifikia hatua ya kutaka kuitumia kujua kama mke au mume ni mwaminifu ktk ndoa, mtoto huyu ni wake au wa nje nk. Kanisa likathibiti matumizi yasiyo kuwa ya kinidhamu maana ilikuwa inawaumbua wengi, kuna mwaka askofu aliitoa damu hiyo nje ikagoma kuyeyuka, huo mwaka ulikua mgumu sana na wenye mabalaa mengi nchini humo.

Kwa maelezo zaidi, soma
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Daah harakati zimeanza
 
Hakuna ugumu, uislamu wa January ulikua wa ukubwani, January kakulia na kulelewa kyaka Kagera kwa Bibi mzaa mama na alikua anaenda Sana kanisani na alibatizwa katoliki wakati huo Baba yake akiwa vitani Uganda , na kavaa Sana rozari na Wana Kagera hasa wa kyaka wanamjua kama mkatoliki ,
Hii historia aliwahi kuizungumza mwenyewe,hata ya kupika na kuuza gongo(enkonyagi) na rubisi aliwahi kuzisimulia pia. Humble background lakini ni 'ntu ya dili' na ndiyo polipomfelisha labda ile yao ya kumpanga mtu na kumbeba kama atakuwa mlengwa wao(Chama Cha Midosho-CCM).
 
Mama ni Muhaya kutoka Bunazi Mutukula Mkristo wa kanisa moja tu takatifu la mitume. January ni mtoto muislam- mkatoriki ambaye ameishi maisha ya kuama ama sababu baba yake aliku mjeda mama nesi. January kalelewa bukoba bunazi ata vita ya Kagera alikuwa bukoba anaishi na kusoma kule uku anapima gogo na lubisi pombe maalufua sana kwa watu wa mkoa wa kagera. Trust me guys kama uliwai kukoshwa na hotuba za rais Jakaya kikwete basi Muandishi ni January Makamba a very humble man and the next president to be sasa wewe mtu wa nyanjirinji jitoe ufahamu.
Husitukumbushe ile plagiarism ya speech ya Obama, that was such an embarrassment!
 
Hongera mama January na Baba january kwa kushinda ulimbukeni wa dini. Hapo wengine wangelazimishana mmoja abadili dini lakini ninyi mmeweza kuishi pamoja kila mtu akiheahimu dini ya mwenzake. Hakika huu ni mfano mkubwa wa kuigwa. Nilikuaha sielewi kwenini mzee makamba anaikua biblia sasa nimejua sababu. Hongera wazee kwa fundisho kubwa hili.
Allah (s.w) hiyo ndoa haitambui in short kwa mujibu wa mtume Muhammad (s.a.w) hao wana zini tu, alafu usicho kijua uislamu haulazimishi mtu kuwa Muslim, Allah ana tuambia hata kama wote tumuasi ulimwengu mzima basi hata pungukiwa na kitu, kuwa Muslim kwa yoyote yeye Allah hapati manufaa yoyote,
 
Just be serious nipe mfano wa hotuba nzuri za rais wa nchi mbali na za Nyerere.
Nikishakupa ndio itafuta hio plagiarism aliyofanya na kumuabisha Rais wake (haswa Internationally)?


The day Kipara ataamua kuvaa viatu vyake halisi na kuacha kutembea Kwa mbeleko ya “Baba” , maybe we will witness something… lakini until then, tupo tunasuburi. InshaAllah
 
Back
Top Bottom