Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Hii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Huoni kua ikulu anaitafta kwa udi na uvumba kwasababu hapo tayari ameonekana kanisani akiwa na mama yake ambae ni mkristo tena mkatoliki,mmmh hii movie inahitaji jicho la ndani lakini sawa tu pengine yeye anaweza akabalance mambo tofauti na wa kutoka dini moja.
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam

Narudi...mtego huo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Mwenyezi Mungu tunusuru
 
Lakni asiwe amefanya kurudi makusudi kwenye dini yake ya utoto ili kumsafishia njia mwanae,kwanza atuoneshe cheti cha ndoa kama niyakiserikali au alisilimishwa mwanzoni mwa miaka flani
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Nadhani FaizaFoxy ana kitu cha kujifunza hapa! Kama ana akili lakini ya kufikiri!
 
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Maza bado yupo fiti sana.....70 and fit.

January yeye ni muislam au mkristo?
 
Allah (s.w) hiyo ndoa haitambui in short kwa mujibu wa mtume Muhammad (s.a.w) hao wana zini tu, alafu usicho kijua uislamu haulazimishi mtu kuwa Muslim, Allah ana tuambia hata kama wote tumuasi ulimwengu mzima basi hata pungukiwa na kitu, kuwa Muslim kwa yoyote yeye Allah hapati manufaa yoyote,
Ikiwa muislamu atabadili kuachana na uislamu, nini inapaswa kuwa adhabu yake (kama ipo) kwa mujibu wa maandiko....???
 
Jina January ni la kikatoliki linatokana na Mtakatifu Januarius, askofu na Shahidi, aliuawa na maadui wa wakristo mwaka 309BK, damu yake imehifadhiwa kama masalia ktk kanisa moja huko Italia na kwa miaka zaidi ya 400 mpk sasa mahujaji huenda kuhiji na kuona masalia hayo, tarehe 19 September ndiyo sikukuu ya Mtakatifu Januarius na damu yake hutolewa nje ikiwa ndani ya chombo ili mahujaji washuhudie, miujiza mingi hutendeka kupitia damu hiyo, muujiza mkubwa uliozoeleka ni kuwa kila mwaka damu hiyo huyeyuka na kuwa mbichi kabisa tena damu hai kama inayotembea mwilini mwa mtu, wataalamu wa afya wamethibitisha hilo, na kuyeyuka kwa damu hiyo hupewa maana mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuashiria mwaka wa mavuno, bahati, mafanikio, kuna wakati hata wachumba wakitaka kujua kama huyu ni mke sahihi wa maisha yake aliyepangiwa na Mwenyezi Mungu wanagusa damu hiyo, ikiyeyuka ndo mwenyewe, ikibakia imeganda sio yeye, wengine walifikia hatua ya kutaka kuitumia kujua kama mke au mume ni mwaminifu ktk ndoa, mtoto huyu ni wake au wa nje nk. Kanisa likathibiti matumizi yasiyo kuwa ya kinidhamu maana ilikuwa inawaumbua wengi, kuna mwaka askofu aliitoa damu hiyo nje ikagoma kuyeyuka, huo mwaka ulikua mgumu sana na wenye mabalaa mengi nchini humo.

Kwa maelezo zaidi, soma
Huu ni uchawi
 
Back
Top Bottom