Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

kanisa ndio takatifu au muumini ndio anakuwa mtakatifu?
Kanisa halikupeleki pahala, wewe binafsi ndio utahukumuwa kwa matendo yako.
Mbinguni kila mtu ataulizwa aliyotenda na siyo kanisa?

Acha kiburi cha udini, Mafarisayo na Masadukayo walikuwepo na kiburi cha dini zao wakimtambia Yesu , aliwaita WANAFIKI wakubwa na aliwaonyesha hivyo huo unafiki wao na NI KAMA MAKABURI YANAYOPAKWA CHOKAA KWA NJE NA NDANI KUNA MIFUPA.

Mathayo 23 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁷ Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.
²⁸ Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, bali ndani mmejaa unafiki na maasi.
 
Ndio hawa wanaotuambia tusifuate matendo yao, tufuate maneno. Wanaungana na watesi kwa kupewa korosho na mvinyo kidogo.
 
Wahaya tumechoka kutopata raisi, ni wakati sasa tumtangulize Makamba Jr.
Mjomba ni mama!
Ule mjengo aliomnunulia mama Kyaka unaonyesha kijana ana shukran na hapotezi kumbukumbu.
 
Attachments

  • Jamani Mmemuona Mjomba Kutoka Same_144p.mp4
    7.8 MB
Naomba na kutumai wewe ni ke, maana kama ni dume basi inaogepesha na kufikirisha.
Lijanuary litamu kama pipi...January kama unasoma huku mwenzio nipo taabani juu yako. Tangu JK anagombea mi nakuona ukiwa msaidizi wake...January nishakusogelea karibu kabisaa lkn hunioniii...January mwenzio nataabika miaka nenda miaka rudi...Dini inaruhusu January ongeza mkatoliki mmoja😂😂😂 Mimi huyo
 
Ndio raha ya kuwa Mtanzania, yaani sote tunaoshi kama ndugu kwa upendo mkubwa na kuheshimiana IMANI zetu. Ndio maana tuna Ona hapo Mama Mkristu Mtoto mwislamu na wala hakuna shida wala chuki.
Tupendane sote tuheshimiane.
 
Lijanuary litamu kama pipi...January kama unasoma huku mwenzio nipo taabani juu yako. Tangu JK anagombea mi nakuona ukiwa msaidizi wake...January nishakusogelea karibu kabisaa lkn hunioniii...January mwenzio nataabika miaka nenda miaka rudi...Dini inaruhusu January ongeza mkatoliki mmoja😂😂😂 Mimi huyo
Mimi ndio January na nimekuelewa. Kama wewe ni wa kike nitumie namba yako nikuonjeshe utamu wa bolodinda langu ila kama dume ushindwe na ulegee kwa jina la Bwana.
 
Mama ni Muhaya kutoka Bunazi Mutukula Mkristo wa kanisa moja tu takatifu la mitume. January ni mtoto muislam- mkatoriki ambaye ameishi maisha ya kuama ama sababu baba yake aliku mjeda mama nesi. January kalelewa bukoba bunazi ata vita ya Kagera alikuwa bukoba anaishi na kusoma kule uku anapima gogo na lubisi pombe maalufua sana kwa watu wa mkoa wa kagera. Trust me guys kama uliwai kukoshwa na hotuba za rais Jakaya kikwete basi Muandishi ni January Makamba a very humble man and the next president to be sasa wewe mtu wa nyanjirinji jitoe ufahamu.
Jamaa ni kichwa balaa. Na ana exposure ya kufa mtu. Na amesoma chuo kikuu Cha wakatoliki huko Amerca...Ikiwa tunahitaji maendeleo yanayoenda na wakati, Rais awe January. Mama akimaliza muda wake lkn....Hayo yote unayoskia mabaya yanayomhusu January ni fitna tuu...wanamwogopa hao wenye uchu that's why wanamsagia kunguni
 
Family yenye bahati sana, isije ikawa January anaanza kupita RC kutafuta kukubalika ili 2030 ajenge himaya ya kugombea Urais, ila najua nguvu kavunjwa tayari..!!
 
Mzee Makamba ana 86yrs old mama Makamba ana 70yrs old wametofautiana kwa 16yrs safi sana👌🏽
 
Back
Top Bottom