Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.

Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
January amezeeka kuliko mama yake!!!
 
Huoni kua ikulu anaitafta kwa udi na uvumba kwasababu hapo tayari ameonekana kanisani akiwa na mama yake ambae ni mkristo tena mkatoliki,mmmh hii movie inahitaji jicho la ndani lakini sawa tu pengine yeye anaweza akabalance mambo tofauti na wa kutoka dini moja.
ule waraka uliokuwa na baraka zote za Jesuits waliupinga. Matokeo yake yataonekana soon
 
2025 😂😂😂

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
kanisa ndio takatifu au muumini ndio anakuwa mtakatifu?
Kanisa halikupeleki pahala, wewe binafsi ndio utahukumuwa kwa matendo yako.
Mbinguni kila mtu ataulizwa aliyotenda na siyo kanisa?

Acha kiburi cha udini, Mafarisayo na Masadukayo walikuwepo na kiburi cha dini zao wakimtambia Yesu , aliwaita WANAFIKI wakubwa na aliwaonyesha hivyo huo unafiki wao na NI KAMA MAKABURI YANAYOPAKWA CHOKAA KWA NJE NA NDANI KUNA MIFUPA.
 
Back
Top Bottom