Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Hakuna ugumu, uislamu wa January ulikua wa ukubwani, January kakulia na kulelewa kyaka Kagera kwa Bibi mzaa mama na alikua anaenda Sana kanisani na alibatizwa katoliki wakati huo Baba yake akiwa vitani Uganda , na kavaa Sana rozari na Wana Kagera hasa wa kyaka wanamjua kama mkatoliki ,
Kumbe!
 
Nikishakupa ndio itafuta hio plagiarism aliyofanya na kumuabisha Rais wake (haswa Internationally)?


The day Kipara ataamua kuvaa viatu vyake halisi na kuacha kutembea Kwa mbeleko ya “Baba” , maybe we will witness something… lakini until then, tupo tunasuburi. InshaAllah
Do u think kipara is still putting on his dad’s shoes ? Very wrong my dear.
 
Jina January ni la kikatoliki linatokana na Mtakatifu Januarius, askofu na Shahidi, aliuawa na maadui wa wakristo mwaka 309BK, damu yake imehifadhiwa kama masalia ktk kanisa moja huko Italia na kwa miaka zaidi ya 400 mpk sasa mahujaji huenda kuhiji na kuona masalia hayo, tarehe 19 September ndiyo sikukuu ya Mtakatifu Januarius na damu yake hutolewa nje ikiwa ndani ya chombo ili mahujaji washuhudie, miujiza mingi hutendeka kupitia damu hiyo, muujiza mkubwa uliozoeleka ni kuwa kila mwaka damu hiyo huyeyuka na kuwa mbichi kabisa tena damu hai kama inayotembea mwilini mwa mtu, wataalamu wa afya wamethibitisha hilo, na kuyeyuka kwa damu hiyo hupewa maana mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuashiria mwaka wa mavuno, bahati, mafanikio, kuna wakati hata wachumba wakitaka kujua kama huyu ni mke sahihi wa maisha yake aliyepangiwa na Mwenyezi Mungu wanagusa damu hiyo, ikiyeyuka ndo mwenyewe, ikibakia imeganda sio yeye, wengine walifikia hatua ya kutaka kuitumia kujua kama mke au mume ni mwaminifu ktk ndoa, mtoto huyu ni wake au wa nje nk. Kanisa likathibiti matumizi yasiyo kuwa ya kinidhamu maana ilikuwa inawaumbua wengi, kuna mwaka askofu aliitoa damu hiyo nje ikagoma kuyeyuka, huo mwaka ulikua mgumu sana na wenye mabalaa mengi nchini humo.

Kwa maelezo zaidi, soma
Kabla uwaziri kuondoka hamkuongea haya
Muwe mnaongea mkiwa madarakani sio mkipigwa chini uwaziri ndio mnaujua ukatoliki
 
Back
Top Bottom