lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Kwa hiyo January kafuata dini ya mama?Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Kaona aibu tu kwenda pamoja na Mrs church maana alishawatukana sana tu maparokoMzee ndio kagoma kumsindikiza mamsapu wake?
Hawana nomaKaona aibu tu kwenda pamoja na Mrs church maana alishawatukana sana tu maparoko
Akili kubwa wewe jamaa!!! Haya sasa kama zamu ya Mkristo yupu huko, hawachomoi, tena mkatoliki. Mwigulu tajiri wa pili baada ya Mo wote kutoka Singida sijui anajisikiaje,Hii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Mzee kasoma shule za makanisa.Mzee Makamba huwa anatukoga kwa vifungu vya biblia kumbe darasa lote kapewa na mama.Safi sana.🙏
I like his passion!Sio Kwa KIU hii.
Not all dreams are real dreams, some are just hallucinations.
Sawa,lakini,kuwa na mama wa kikristu napo kumemjenga akawa mfuatiliaji zaidi na kusawazisha mizani.Mama hawezi kunyimwa pointi katika ushindi huo.Mzee kasoma shule za makanisa.
Thieving is a passion too, so I do understand you.I like his passion!