Mama kabandika picha sebuleni ambazo yumo ex, mke kazing'oa. Hapa kosa la nani?

Lamomy eti mama mkwe aje abandike picha za ex wa Countrywide utafanyaje?maana wewe Kwa Sasa ndio una busara za mke mwema🕵️🕵️
Nitamkumbusha mama mkwe wote me na yeye ni wapitaji, huo ukoo wa kina Kantry sio wetu linalotubeba ni Mrs Wide tyuuu!!
Nitamshawishi bibi naye achukue pics za ex wa baba mkwe akabandike kwake 😂😂😂😂
 
Mwambie huyo mama yako hapo sio kwake ni kwako na mke wako yeye akaweke picha kwake na kwa mume wake yaani baba yako.
 
Hii stori inanikumbusha miaka ya nyuma ambapo rafiki yangu na mkewe walipotembelewa na dada wa rafiki yangu. Dada alifika ijumaa ilipofika jumatatu rafiki yangu na mkewe walienda kazini waliporudi walikuta nyumba takriban yote imekuwa rearranged kuanzia masofa, tv dinning area, jikoni, bathroom na hata laundry area yaani alichokuwa hakubadili ni rangi za ukutani tu! Eee kulizuka mzozo mkubwa mno kiasi nikaamua kukaa mbali sana kwa mwezi mzima!
 
Mkuu sio swala la ukilaza au kuwa na akili,huu Uzi wanaelewa wambea tu yani wale mashankupe yaliyoshindikana!.. mwenyewe Sijaelewa hata usijilaumu mambo yana watu wake haya...😂
Hakika huu uzi sio kwa ajili yetu.
 
Nitamkumbusha mama mkwe wote me na yeye ni wapitaji, huo ukoo wa kina Kantry sio wetu linalotubeba ni Mrs Wide tyuuu!!
Nitamshawishi bibi naye achukue pics za ex wa baba mkwe akabandike kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Utakuta mtoto ni wa singo mama na hamjuwi baba'ke na anaishi na mama'ke na kuleta wanawake zake humohumo, kaachana na wa kwanza sasa kaweka mwengine hapohapo.

Hiyo nyumba haina maadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…