Hakika!! Nakubaliana na wewe. Hapa najiuliza maswali mengi tu - ningekuwa mie ndio Lulu - ningeshukuru kua bora ni hio miaka miwili kuliko kifungo cha maisha, au?? Ningekuwa mama Kanumba - hio miaka miwili inatosha kweli au???
😕😕
Mkuu umenena vyema naona humu watu wana comment wawezavyo kana kwamba wao wana guarantee na maisha yao badae, ni kumuomba Mungu atuepusheHaya mambo magumu mpaka yakupate ndio utaelewa!!!!
Kwa hyo angeachiwa huru?Lulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Mna uhakika gani kuwa kafurah, uchungu wa mwana aujuae mzazi jmn mwanae hatorud lkn atapata amani ya moyo kidogo kuona kuwa at least sheria imefuatwa.Tatizo langu sio sheria kuamua.Tatizo langu ni kwa nini afurahie Lulu kufungwa wakati mwanae harudi.
Sheria imechukua mkondo wake ni sawa, lakini sioni sababu ya mama kanumba kufurahi ndo maana namwona Jingajinga.
Kutafuna kabinti ka miaka kumi na saba ni ubakaji piaInampunguzia machungu kidogo maana aliumia kusikia kila siku kuwa mwanae alikua anabaka
MAMA KAZUNGUMZASawa mkuu
Na hiyo hukumu ni changa la macho tuu kumpotezea mama kanumbaUzuri wa bongo huchelewi kusikia katolewa kwa msamaha wa bashite kabla ya miaka 2 kufika, just wait and see
Kutafuna kabinti ka miaka kumi na saba ni ubakaji pia
Kwani mtu akiuwa bila kukusudiwa anapaswa kupongezwa?Kurufahi kumenipa shaka kidogo na mtu aliua bila kusudi??
Okay wacha tu sheria ifate mkondo wake
Hukumu haitamfufua Kanumba lakini sheria lazima ichukue mkondo wake ndio maana zipo Mahakama duniani kote otherwise tungechinjana kama mbuzi.masikini!hata haisaidii
Furaha yake naweza iweka katika makundi mawiliKwani mtu akiuwa bila kukusudiwa anapaswa kupongezwa?