Simaanishi hivyo mkuuKwani mtu akiuwa bila kukusudiwa anapaswa kupongezwa?
El[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Miaka miwili kdgo sana,wangemlima mvua za maana
Alikuwa ni Pasua Kichwa,aka Kipusa.yule mchungaji anayesema kanumba anatumikishwa na free mason, yuko wapi aje atoe utetezi humu, wasije wakamchukua na huyo lulu, lulu imemkuta bahati mbaya, yule aliyempigia simu usiku siku ya tukio keshajulikana?
Lakini pia ikumbukwe kuwa marehemu Kanumba alianza kuwa na mahusiano na Lulu akiwa na chini au na miaka 17 (LULU) kisheria hakutakiwa Kanumba kuwa mpenzi wa umri kama huo, ambapo sheria inasema ni sawa kufanya ubakaji, hivyo mama kanumba ajue kuwa mwanae hakufanya jambo jema kuwa na mahusiano na mtoto huyo.NAISHUKURU MAHAKAMA IMETENDA HAKI
Mama wa marehemu Stephen Kanumba akizungumza baada ya Mahakama Kuu kumhukumu @elizabethmichaelofficial kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia Stephen Kanumba
Mkuu ikitokea Mambo yamebadilika kufikia hivyo..Kuna uwezekano wa kuzaliwa visasi..Mfano Kanumba angekua na Mtoto Kabla ya kuwa na mahusiano na Lulu..Mtoto Leo angekua kwenye hali Gani? Baada ya Kifungo chake nini atapata? Kwa Mzazi ni rahisi kusamehe.. Je Mtoto angesamehe?Mawakili watakua wanatumia case study hii case,watakua wanasema kama Lulu aliua na akala mvua mbili tu,kwa nini asiwe mteja wangu??
Ujinga utatuua Tanzania hv hapa si mlikua mnalilia lisu sijui alete wapelelezi Sasa wakija ndo itabadilisha kutopigwa risasi sheria lazima ifuatwe mbona mnapiga mwizi je ndo mali zako zilizoibiwa zitarudi
Angefungwa miaka 5, au 6
Ndiyo maana kuna mahakama na magereza pia... Kusema kwamba haisaidii kitu inaonekana hujui maana ya uwepo wa mahakama otherwise kusingekuwa na haja ya hukumu kama hizi kuwepo maana mtu akisha kufa harudi.. Hii ni kutoa funzo kwake na kwa wengine ili matendo ya hivi yapungue katika jamiiLulu kufungwa faida gani kapata sasa uyo maza!
Huna facts!!! Unashindwa kuutetea upuuzi wako
Kweli, miaka miwili wamembeba tu.Hukumu haitamfufua Kanumba lakini sheria lazima ichukue mkondo wake ndio maana zipo Mahakama duniani kote otherwise tungechinjana kama mbuzi.
Hata hivyo mahakama imemhurumia sana nchi za ulimwengu wa kwanza hukumu yake ingekuwa 10+ akitoka hawezi kupata kazi ataanza kila kitu upya. Mara nyingi hata jamii itakutenga utakuwa mpweke na mara nyingi wengi wao hukata tamaa ya maisha.
Ukihukumiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia au kutokukusudia Maisha yako yanabadilika kuanzia hapo tofauti na aliyehukumiwa kwa kosa la kuiba etc.
Hafufuki, lakini kama unahisi jela kuzuri kakae japo siku 5 tu.hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
Acha kuwajibu wapumbavuNdiyo maana kuna mahakama na magereza pia... Kusema kwamba haisaidii kitu inaonekana hujui maana ya uwepo wa mahakama otherwise kusingekuwa na haja ya hukumu kama hizi kuwepo maana mtu akisha kufa harudi.. Hii ni kutoa funzo kwake na kwa wengine ili matendo ya hivi yapungue katika jamii
Ooh kumbeWOTE WAHAYA WANAJUANA!!!!
Hafufuki, lakini kama unahisi jela kuzuri kakae japo siku 5 tu.
Jose kakukabidhi nafasi yake?!Mama anaona haki imetendeka
Karibu tena....ulifanya nn mpaka wakakupa ban?aliyenielewa humu ni Mama Sabrina tu !we kilaza kaa mbali