Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Neno "afuhi" ndio muktadha wa majibu yangu.
Hakuna cha kufurahia mwanao kuwa kaburini hata kama aliyemuua naye atauliwa! Hakuna cha mama kufurahia.

Sawa ndugu ngoja tu niheshimu maoni yako kwenye hili.....
 
Pole yake Lulu dunia ndivyo ilivyo msalimie papi kocho na baba yake wambie nawapa hai
 
Ninadhani wamechukulia umri na pia hili ni kosa lake la kwanza

Kale kakubwa.... Kama 2012 kalikua na driving license means she was above 18yrs... Huwezi pata license kama uko chini ya 18yrs,la sivyo kama she was under 18yrs,aliyetoa license kwa Lulu anatakiwa kua Segerea pia
 
Haki nyingine bhana zinachekesha kweli kweli.... nenda kaibe kuku au simu uone hukumu yake sasa....
 
Bongo movie umri hausogei

Shauri yao sasa,haya mambo hua sio kabisa.... Unaweza shangaa Wema Sepenga ana miaka 24, Jokate Mwegelo 23,Ray Kigosi 27.... Yakiwakuta huko polisi na mahakamani ndo wanafungwa kiuraini kabisa
 
Kale kakubwa.... Kama 2012 kalikua na driving license means she was above 18yrs... Huwezi pata license kama uko chini ya 18yrs,la sivyo kama she was under 18yrs,aliyetoa license kwa Lulu anatakiwa kua Segerea pia
Lulu ni 23 years old by now!!! Kwa anaebisha anifate DM ,,,Ila tatizo ni mfupi tu ndio maana watu wanaumuona mdogo,,
 
Kama.hapa.duniani.tunahukumiana tujiandae na.ile.hukumu ya mwisho.tutubu wajameni sema mi jpm.ananani ghalifisha sana
 
Ni rahisi sana kulielezea jambo ukiwa nje ya maudhui yake.....

Mimi kwa uelewa wangu na kwa ufahamu wangu.....nakuombea kwa Mungu usipitie kipindi kama anachopitia Mama Kanumba wakati huu

Au kama anavyojihisi Mzazi wa Lulu....

Ni mambo ambayo ni mepesi kuyaongea lakini si kwenye kuyatenda......
Kweli kabisa wazazi wote wawili wameumizwa na mkasa huu,kila mmoja kwa namna yake.

Kifungo hiki kitatoa ahueni kwa mfiwa pamoja na kwamba aliyefariki hatarudi.
 
Back
Top Bottom