Dini ya mason
Si nasikia yule bilionea wa lulu aliyempangishia nyumba mbez sijui anaitwa seki, sasa iv anatoka na jokate, mapenz moto moto, sasa juzi kat bi shost wale walikutana viwanja, jokate akawa anadai lulu anamvunjia heshima, anamtangazia maneno machafu kwa watu. LULU nae akaja juu kama moto wa kifuu.. itaendelea... www.warumi.com
Yaniii ntafaidi hatariii!!Ntafaidi kwenda sehemu boss wangu atakazokua anaenda!ntawaona watu wengi masuperstar...yani naweza kumpiku kwa miumbeya tatizo,tutafikia hatua ya kupiga picha na Le mutuz le billionea,na wengine kibaoo!Halooo ya mmeba pochi hahah utakuwa unafaidi chenchi
Hii tabia ya kuchukua habari globalpublisher na kuzileta huku zimeshika kasi sn,inakeraaaaaa.
Mleta mada kaleta kama ilivyo toka huko.
Kama umekerekwa chukua ndimu urambe!!Wengi haitukeri bali inatufurahisha!!Hatuna muda wa kununua magazeti au kuingia huko globo...ni sawa mtu akicopy habari Reuters,TMZ,au BBC utachefuka!?unless otherwise una yako!!
Hajui ndio maana vimeitwa vyombo vya habari? Anataka habari itoke kwenye vyombo vya jikoni inahuuuu achana naeKama umekerekwa chukua ndimu urambe!!Wengi haitukeri bali inatufurahisha!!Hatuna muda wa kununua magazeti au kuingia huko globo...ni sawa mtu akicopy habari Reuters,TMZ,au BBC utachefuka!?unless otherwise una yako!!
Hajui ndio maana vimeitwa vyombo vya habari? Anataka habari itoke kwenye vyombo vya jikoni inahuuuu achana nae
Ninaungoja hapa...Ivi Lulu aliwahi kusemas amepata mchumba atamwanika wazi yaliishia wapi?Halaf we mrembo tupe basi umbea yamwageee banaa
Mimi nikifa yupo mme wangu lakini sitahitaj aseme haisaidii kitu
Itasaidia bwana tusiwe tunaku mention kwenye umbea tukuongezee moto bure mwaya
Ninaungoja hapa...Ivi Lulu aliwahi kusemas amepata mchumba atamwanika wazi yaliishia wapi?
Napita tu naelekea kwenye palizi
Uigizaji ulimshinda,wala hakushine,nadhani nayeye sasa anahitaji mbeba pochi!Hahaha Huyu nae Mama Kanumba anapenda U Star sana!
Nilikuwa namuona marehemu kwa jicho la kitofauti sana, alikuwa mstaarabu sana hilo linajulikana mbona, alikuwa sio mtu wa anasa kihivyo na mashauzi alikuwa hana na ndio maana Daima atakumbukwa, huyo ndomo atakumbukwa kwa ubunifu wake tu ila sio kijana mwenye maadili kama kanumba
Kanumba alikuwa mtu poa sana tofauti na Ray ana majivuno na kujisikia sana, kama hakufahamu na mmekaa sehemu hata ukimuongelesha anaweza asikujibu akakuangalia tuu,
Uigizaji ulimshinda,wala hakushine,nadhani nayeye sasa anahitaji mbeba pochi!
Mhhhh palizi gani hilo mrembo?la kwa bibi?